juan moses
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 2,403
- 2,483
MAJIBU YA MITONGOZO NA CHA KUFANYA!
Akili za kuambiwa jumlisha na zako!
Shule ya bure nimewapa
Vijana Katika Umri Tongozaji 18-Early 30s,Mabroo over this age najua nyinyi hamna shida ni mbwa wazee and "you cant teach an old dog new tricks"
Jibu 1: Nina mtu wangu/Im taken.
Hapa kuna mawili,mtu yupo kweli au hayupo kabisa ila sasa kwa kua kakuona humfai anaona bora aseme kuwa na mtu maana anajua akisema yuo Single utamganda kama luba,pia wengine husema ivo anajitabiria apate mtu soon Ila Sio WEWE na sura lako kama Linex;
Cha kufanya; Kama una mipango nae tulia umsome,kama ana mtu utaona kama hana utajua na unaweza kumbadilisha mawazo,au hata akamuacha MTU kwa ajili yako,ila kama unataka mchape nao tu,basi hamishia majeshi sehem nyingine Vita iendelee!
Jibu 2:Nakuchulia kama kakaangu/I see/take you as my brother.
Dadeki jibu linauma hili asikuambie mtu,yani dunia nzima wanaume wote akuone wewe ndo kakaake na kakazake si watakua babazake sasa. Hap mzee HUTAKWI plain and simple.
Cha kufanya;Jipe tu shughuli mzee.
Jibu 3;Napenda uwe rafiki yangu tu/Tubakie marafiki tu
Yani hrafiki,imaanisha wewe ni joka la kibisa maana hauna meno mpaka akuweke uwe karibu kama rafiki,hakuruhusu na huwezi kufanya chochote,yani ukikubali utakua kama shogaake mwishowe aje akuhadithie kuna jamaa anampenda au alivyotongozwa,heck! Atakuja hadi kukuhadithia alivyopanjuliwa huko shauri zako.
Cha kufanya;Kama ni boya na una mambo ya kizungu bas kuwa rafiki ila utakapoambiwa "nimeaga home nakuja kwenu kuna sherehe" alafu anapeleka kitumbua kwa jamaa ili wewe uwe kama cover usimaindi. La sivyo vunja urafiki,mazoea mawasiliano kila kitu,i akways do this, naamini (hamna urafiki kati ya mwanamke na mwanamme,baada ya kutongoza jibu liwe zuri au baya never). Ila kama una mpango mwingine labda utamlewesha umle au Vipi basi kua tu rafiki ila ujue umembaka na hainogi!
Jibu 4; Sipo tayari kuwa na mpenzi/kuingia katika mahusiano kwa sasa.
Kuna wakweli na waongo wote husingizia maumivu ya mapenzi yanawafanya wapumzike,inakeraga hii!
Cha kufanya;Sikilizia tu,kwa wakweli unaweza ukamfanya akuelewe na akubali kuwa na mpenzi,ila kwa waongo hapa ni HUTAKWI,yani hajioni kuwa na wewe kwa namna yoyote,hata mngebakia wawili tu duniani,so we chapa Lapa.Utajuaje kama anasema ukweli au muongo utajua WEWE. Ila hii inauma pale alipokujibu ivyo alafu baada ya siku 3 unamkuta na jamaa mwingine,*****!
Jibu 5; Nipe muda nikufikirie.
This is very tricky,Muda huo aisee ni kama Pandora box,Hujui kitatokea nini,litatokea lijamaa wakati unafikiriwa likakuchania mkeka,sasa hapo unaweza ukasubirishwa hata mwaka unafikiriwa tu.
Cha kufanya; We subiria,hii ni kama interview,kumbushia jibu lako,jaribu kumuimpress na kumvutia akufikirie vizuri,sasa upo kwenyeProbation ukimbwera imekula kwako.
Jibu 6;Majibu Randomly(Sikutaki,Nina Ukimwi/Nimeathirika/Huna Hela ya kua na mimi/Huna hadhi ya kuwa na mimi/Mi mkubwa kwako au wewe mdogo sana kwangu.
Cha kufanya;Utajua mwenyewe Kama umejibiwa huna ela si ukatafute,kama kakwambia ana UKIMWI si uamue mwenyewe kufa au kuishi!
Warning; Ukiona none of this applies to your scenario/circumstances then dont bother!