Nimebaki palepale,misingi ya ukweli unayoisema haipishani na hoja yangu ya kuwa waliopokea zamani wanayo nafasi nzuri ya kupata kilicho bora kwa kiasi kikubwa kuliko wanaopokea leo kama wewe,bado naona tafuti za mohamed said zinawezakuwa zilipata mengi zaidi na halisi kuliko zako ulizozifanya baada ya vizazi.