Majibu ya zitto

Majibu ya zitto

joika

Member
Joined
Aug 31, 2010
Posts
37
Reaction score
8
Nimemkubali sana zitto kwa majibu yake juu ya maamuzi ya kamato kuu. Ya msingi yana majibu tunasubuli majjbu ya chadema kwa maswala ya msingi yaliyo ulizwa na zitto.
 
CHADEMA wajibu kuhusu watu walio sambaza walaka kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na walaka feck
 
Mletamada !
"Kamato"
"Walaka"
"Tunasubili"
excuse me , umeandika kilugha au?
 
Hapa ni mahala pake au mimi nimekosea njia
 
wewee hapa ni mahala pa kukenua meno yote!! sio kukunjiana sura na kurushiana matofali!!
 
Back
Top Bottom