Wana jf,
mda si mrefu nilikuwa najongea nyumbani toka mzigoni,nikakutana na watu fulani wapo kwenye ubishi mkali
kuwa eiza wanawake wana zile ndoto zetu za usiku[wet dream] kuota una demu then mpaka ejaculation au la!!!!
Mi nikasema ngoja niwapelekee wadadavuzi wanipe majibu
Haya sasa anzeni kutiririka nimeishashika karamu na karatasi