Prof kaongea ukweli ambao umewauma mawakala wa ufisadi
Hiyo taarifa ya TRA ilitoka lini?Hapo nimeshangaa hadi Nikakereka. TRA Walishatoa taarifa mapema kabisa.Nilitegemea Wizara ingerahisisha kazi ya TRA
mlisema hela yote ni ya umma.yaani jamaa mjinga kweli huyu Muhongo,kama ni hivyo basi wafanyakazi wangekuwa hawakatwi PAYE ila wangekuwa wanalipwa hela zote halafu badaye ndo walipe kodi
Hakuna aliyekwapua bali fedha zimechukuliwa kihalali. Tena mpaka mafisadi kama Chenge na Ngeleja wamelamba mgawo waoUkweli unaujua kuwa maboss wako wamekwapua pesa za escrow na inatuumiza sisi wananchi,hatuna mgao kama wewe
Kiongozi, katika hali iliyopo, tegemea chochote tu. Yote yanawezekana. Maandalizi inaweza kuwa yalifanyika mapema kwa sababu report iliibwa na uwezekano mkubwa ni kwamba wangeweza kuipata hata kabla ya kuibwa.
Kama ni kurefute report ya PAC, kutakuwa ni kwa mabavu na si kwa point kwa sababu PAC katayarisha kwa msingi wa CAG na Takukuru baada ya thorough research.
PAC waki conspire, ama kufanya drama yoyote tutaona. Tutaamua nini kifuate.
Subiri dawa iingie wewe unarukaruka nini?
Jibu swali wee mburula, hicho cha moto ndio huku ku-post vimaneno maneno ukiwa nyuma ya keyboard? Sasa kama unajiamini hebu thubutu uje uone kilichomfanya kuku kuanza kutaga!
Kama case ilikuwa ni kuwasilisha report ya CAG na TAKUKURU why then hizo taarifa zao CAG/ PCcB zisingesomwa direct bungeni?
Mkuu, kwani kwa uelewa wako wapi kajifunga? Mbona mnabwabwaja tu kama Zitto?
Prof kawaambia kuwa kama yeye ni dalali basi udalali wake ni wa kupeleka umeme vijijini