Posho City
JF-Expert Member
- Mar 15, 2012
- 648
- 418
Aisee samahani wakuu mdogo wangu amepechaguliwa chuo alichoomba ila tatizo aliomba kusomea ualimu kwa ngazi ya primary ila nacte wamemchagua akasoma technian certificate in ICT....Je anaweza kubadili kozi akifika chuoni??