Majibu ya mume

what i can say pole kwa yote...i wish ningekuwa na ufundi wa kufix bongo za watu kama navyo fix machines.

Mungu apewe sifa, na aiponye ndoa yenu. Amen
 
Kikubwa sio kuuliza au kufikiri tu. Anatakiwa kukusanya ushahidi usio na shaka kuwa mumewe sio muaminifu. Hizi allegations za kuwasiliana na vitu kama hivyo akiamua kuziruka anaziruka kirahisi tu na hakuna atayekuelewa. Hivyo, jihakikishie kwa kuwa na ushahidi mujarabu ambao hata ukiusubmitt kwa mtu wa pembeni hoja au maamuzi yako yaonekane yana mashiko.
 
Avatar yako tuni hoi.. ushauri wote umeyeyuka.
 

upuuzi mtupu... mtu anayecheat sio wa kumchekea na kumuuliza kwa upole. umuulize kwa upole kwa kuwa anayoyafanya ni mema au ni bahati mbaya anafanya kwa kushinikizwa au nje ya akili yake...hapana. wanawake hata kama ni heshima, mtadidimizwa mpaka siku ya mwisho.
 
Hapa sidhani kama ni suruhisho bali ni kuongeza tatizo. Mke anaejitambua hawezikupambana na mumewe kwa kufokeana au kuja juu, kwa mwanaume wa dizain hii ataishia kupigwa. Mwanamke mpumbavu hubomoa Nyumba kwa mikono yake.

acheni kutumia huo msemo vibaya. mwanaume mpumbavu hubomoa nyumba yake kwa mikono yake vivyo hivyo. mnajipa tu haki za kuwafanyia wanawake maovu na maonezi ya kipuuzi. ucheat halafu bado unyenyekewe kuombwa uache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…