mtoto mpole
JF-Expert Member
- Mar 22, 2010
- 678
- 148
Umeolewa 3years ago na mkafanikiwa kupata mtoto mmoja...unampenda sana mumeo ila ukaja kugundua si mwaminifu yaan anamichepuko yake mingi yenye uhakika ni miwili....sasa hii inakuumiza unajitahidi kumuuliza kwa upole na unyenyekevu ila yeye anakua mkali balaa na majibu yake siku zote nu hata
1. Huyo nimemjua kabla yako..
2.Sisi(ww na mumeo) tumekutana ukubwani tukiwa mijitu mizima kabisa..
3. Unanichunguza sana unataka nirudie tabia yangu ya zamani..
4. Mbona mm sikuulizi ulizi haya mambo?
Afu hapo anakua mkali kabisa..mke akishajibiwa hivo anakua mpole tu ila anakua na mawazo sana na anaogopa kumuuliza mumewe why anamjibu hivo sababu anakua mkali sana na binti kugombana ndo hawezi sababu anakosaga sana amani...swali je kwann huyo mume anajibu hivo??na binti afanyeje kukomesha hayo majibu sababu yanamkwaza sana esp number 1&2
Loveissweet,naomba uni-pm kuna jambo jema la kujadiliana wewe na mimi kama itawezekana,Ahsante.
kanasa!!! hehehe,!
Uliuliza maswali gani mpaka ujibiwe hivi??!!!
Kwa tone gani??!!
Facial expression??!!
Mkiwa wapi katika hali gani??!!
Very soon mke naye atatoka kutafuta faraja nje
Hapo mwanaume anatoa hayo maneno kumuundermine huyo mwanamke,
ameshafahamu kwamba akimpa hayo maneno anakua mpole na anaacha kumuuliza,
binafsi sioni sababu ya kuishi na mtu anaenignore na kuniona mjinga kwa ninalouliza,
ila wanawake wengi wamekua wakiishi kwa huzuni maisha yao yote kwa madai ya kulinda heshima ya ndoa,
Mfano anauliza Bite unamahusiano nae gani na mbona ninakuomba uache kuwasiliana nae lakini mwenzangu bado unawasiliana nae?majibu ndo kama hayo hapo juu...
Kwa tone nzuri kabisa ya kuomba aache ayafanyayo...
Kwa njia ya simu maana mke yupo ukweni amejifungua...
Uliuliza maswali gani mpaka ujibiwe hivi??!!!
Kwa tone gani??!!
Facial expression??!!
Mkiwa wapi katika hali gani??!!
Hahahaha mijanaume mingne hata uulize ukiwa wap ni shedaah ty
Huyo bint acharuke nae ajifanye kvuta bange akianza kumfokea nae ajitoe akili waende sawa huyo dume keshamjulia dats y anajibu hvyo