yeye kanukuu baahi ya post kutoka huko.....Hivi kwanini vijana wa bavicha mna majungu sana?
Kuliko uvccm kweli??Hivi kwanini vijana wa bavicha mna majungu sana?
Unamaanisha kuwa wa kaskazini tu ndo wanawekwa nyuma ya nondo..acha hizo ..watu kama wewe hamfai ktk jamiiPoa tu ipo siku, huyu jamaa angekuwa ametokea kanda ya kaskazini saa hizi angekuwa nyuma ya nondo face book ingebaki historia tu kwake, acha mfalme aendelee kuyakoroga siku ya kuyanywa lazima tu nay atashika kikombe chake.
Kuna uhusiano gani kati ya watokao kaskazini na kukaa nyuma ya nondo?Poa tu ipo siku, huyu jamaa angekuwa ametokea kanda ya kaskazini saa hizi angekuwa nyuma ya nondo face book ingebaki historia tu kwake, acha mfalme aendelee kuyakoroga siku ya kuyanywa lazima tu nay atashika kikombe chake.