Mdudu Wa Masala
Senior Member
- Feb 17, 2012
- 134
- 79
1:Ume pause Movie?
:Hapana,Wamechoka kuact,Wanapumzika
2:Hiyo ni accident?
:Hapana,ni dereva
ameamua kupark gari
juu chini.
3:Gari Imejaa?Nitakalia
Wapi?
: Usijali, dereva anashukia stage ifuatayo,utapata
Kiti.
4:Gazeti la Leo linasemaje?
:Sijaongea nalo
simu usiku wa manane
5:Nimekuamsha?
:Hapana,Nilikua naota jua
hapa nje!
6:Utakula ugali na nini?
:Na mdomo
7:Umenyolewa?
G:Hapana,nimebadilisha
kichwa!
:Hapana,Wamechoka kuact,Wanapumzika
2:Hiyo ni accident?
:Hapana,ni dereva
ameamua kupark gari
juu chini.
3:Gari Imejaa?Nitakalia
Wapi?
: Usijali, dereva anashukia stage ifuatayo,utapata
Kiti.
4:Gazeti la Leo linasemaje?
:Sijaongea nalo
simu usiku wa manane
5:Nimekuamsha?
:Hapana,Nilikua naota jua
hapa nje!
6:Utakula ugali na nini?
:Na mdomo
7:Umenyolewa?
G:Hapana,nimebadilisha
kichwa!