Wapoti JF-Expert Member Aug 28, 2013 2,824 1,095 Sep 29, 2016 #3 hakuna mjadala hapo nafikiri dogo jibu kamili analo
souljah meditater JF-Expert Member Oct 15, 2012 2,146 2,094 Sep 29, 2016 #5 ambacho kingetokea ni Mloje Mamba kumwita Edo Kumwembe Baba
kijana wa leo JF-Expert Member Nov 28, 2011 2,856 7,005 Sep 29, 2016 #6 Hii inaitwa lete ujinga nifanye upumbavu, dawa ya fyatu ni kwenda nae kifyatufyatu
muhomakilo jr JF-Expert Member Jul 28, 2013 13,477 10,067 Sep 29, 2016 #7 Dogo kazingua,Edo akamzingua...
asanteelimu2016 JF-Expert Member Sep 23, 2016 235 127 Sep 29, 2016 Thread starter #8 muhomakilo jr said: Dogo kazingua,Edo akamzingua... Click to expand... Shida ni timu gani ya dogo edo akamzingua
muhomakilo jr said: Dogo kazingua,Edo akamzingua... Click to expand... Shida ni timu gani ya dogo edo akamzingua
Mawembasa1979 JF-Expert Member Feb 26, 2015 2,169 2,548 Sep 29, 2016 #9 kijana wa leo said: Hii inaitwa lete ujinga nifanye upumbavu, dawa ya fyatu ni kwenda nae kifyatufyatu Click to expand... Dogo ameleta fyokofyoko jibu linamhusu!
kijana wa leo said: Hii inaitwa lete ujinga nifanye upumbavu, dawa ya fyatu ni kwenda nae kifyatufyatu Click to expand... Dogo ameleta fyokofyoko jibu linamhusu!
Bakulutu JF-Expert Member Nov 30, 2011 2,546 1,760 Sep 29, 2016 #10 Haa...haaaaa Edo kaua.. Edooo weweeee..dogo hata rudia tena na lazima akaoge na maji ya magadi..
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Nov 13, 2009 43,703 60,777 Sep 29, 2016 #11 souljah meditater said: ambacho kingetokea ni Mloje Mamba kumwita Edo Kumwembe Baba Click to expand... Na pengine muamala ulishakamilka hivyo dogo akubali kuwa Edo ni faza wake kimtindo.
souljah meditater said: ambacho kingetokea ni Mloje Mamba kumwita Edo Kumwembe Baba Click to expand... Na pengine muamala ulishakamilka hivyo dogo akubali kuwa Edo ni faza wake kimtindo.