Majibu ya jakaya

Nimecheka jamani! hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa! Kuna watu wachokozi, duh!
 
Alijitahidi kwa majibu SAHIHI sana 🙂

 
The one and the only Jeikei......
 
yani ni kama kweli na yeye anafikiria kwa masaburi
 
kila jibu la swali SIJUI yani mimi SIJUI...............daaah
 
Aisee jamaa una kumbukumbu nzuri sana. Hivyo ndivyo jeikei alivyojibu. Hujaongeza wala kupunguza neno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…