Majibu Mujarab kwa Zitto Kabwe juu ya sababu ya kuongezeka mishahara kati ya Juni 2015 na Juni 2016

Mtoa mada upo sahihi Kwa sababu kuu mbili.

1.Wewe upo kazini kutetea serikali ila si kuwatetea waTanzania.

2.Umetumia data kumjibu Zitto ila umesahau umepwaya maana hata hao unaosema wameajiwa ajira zilisitiswa,pia madaraja watu wengi mpaka leo hawakupanda.

Note;
[HASHTAG]#Unachokifanya[/HASHTAG] ni kwa faida yako na familia yako ila zitto anafanya kwaajili ya wanaKigoma na waTanzania kwa ujumla.

[HASHTAG]#Hivyo[/HASHTAG] wote mpo kazini japo kwa maslahi tofauti tofauti.
 
Akichangia Mpango wa Serikali kwa mwaka 2017/2018, Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Zubery Kabwe amenukuu Takwimu zilizotolewa na Waziri mwenye dhamana ya Utumishi, Angela Kairuki alizotoa Bungeni Novemba 1, 2016 kwamba Serikali inaokoa shilingi bilioni 19 kila mwezi kutokana na watumishi hewa.

Aidha, Zitto Kabwe amenukuu taarifa za BOT zinazoelezea matumizi ya Serikali kwa upande wa Wages and Salaries kwa mwezi Juni 2015 na Juni 2016. Katika maelezo yake, Zitto Kabwe anasema kuwa Mwezi Juni 2015, wages and salaries ilikuwa Bilioni 456. Aidha anasema kuwa taarifa hizo kwa Mwezi Juni 2016 zilizotolewa na BOT Agosti 2016 zinaonesha kuwa Serikali inatumia jumla ya shilingi bilioni 534 kwa ajili ya Wages and Salaries. Hivyo kufanya nyongeza ya shilingi bilioni 78.

Zitto anauliza wapi nyongeza hii inatoka ilhali watumishi hewa wameondolewa, hakuna ajira mpya, hakuna nyongeza ya mishahara na hakuna watumishi waliopandishwa madaraja? Kwa mawazo yake Zitto Kabwe anaona kuwa mmoja wapo kati ya Gavana wa BOT na Waziri wa Utumishi anadanganya ama Serikali inatumia fedha za mishahara zilizookolewa kwa matumizi mengine.

Labda niwakumbushe ndugu zangu kuwa Agizo la Serikali kuhakiki watumishi hewa lilitolewa na Mheshimiwa Rais Magufuli Tarehe 15 Machi 2016 wakati wa hafla ya kuwaapisha Wakuu wa Mikoa. Rais alitoa siku 15 kwa Wakuu hao wa Mikoa kuhakiki watumishi walio chini yao hadi Machi 29, 2016. Hadi tarehe hiyo, Wakuu wa mikoa walikamilisha zoezi hilo na waliwasilisha orodha ya watumishi hewa kwenye maeneo yao. Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anne Kilango Malecela alisema kuwa mkoa wake hauna watumishi hewa. Ndio sababu ya kutumbuliwa kwake.

Baada ya ripoti hizo za wakuu wa mikoa, Rais aliunda Kikosi Kazi kilichozunguka nchi nzima kuoanisha taarifa hizo za mikoa na takwimu zilizopo kutoka Hazina na mamlaka nyingine. Baada ya zoezi hilo, iligundulika kuwa taarifa za mikoa zina mapungufu mengi kwani baadhi ya maafisa Utumishi walitoa taarifa za uongo. Iligundulika pia kuwa zoezi hilo la uhakiki lilikuwa gumu kwa vile wakati uhakiki unafanyika, mamlaka za uajiri zilikuwa zinaendelea kuajiri watu wakiwemo watumishi hewa. Pia watumishi waliendelea kupandishwa madaraja na kulipwa mishahara mipya.

Katika kuhakikisha kuwa zoezi hilo la uhakiki linafanyika ipasavyo, Tarehe 22 Juni 2016, Rais alitangaza kusitisha ajira mpya, kutopandisha madaraja na kutotoa nyongeza ya mishahara kwa muda wa miezi miwili na kwamba zoezi hilo lingepaswa kukamilika mwezi Septemba 2016. Hivyo, tangu wakati huo, hakuna ajira mpya, mishahara mipya ama nyongeza za mishahara isipokuwa kwenye baadhi ya maeneo.

Ilipofika Septemba, ilibainika kuwa kuna haja ya kuwndelea kufanya uhakiki kwa vile matatizo mangi yaliendelea kubainika. Mchakato huo ambao kwa sasa ni detailed hasa kwa kuangalia vyeti vya taaluma na nyaraka nyingine unaendelea.

Ikumbukwe kuwa taarifa iliyotolewa na Kairuki inatokana na uhakiki ulioanza mwezi Juni na si ule wa Machi.

KWA NINI KUMEKUWA NA ONGEZEKO LA MISHAHARA KWA ZAIDI YA BILIONI 78 KATI YA JUNI 2015 na JUNI 2016?

Namshangaa sana Zitto Kabwe. Ama anajua ukweli ila anataka kupotosha au inawezekana pia hii hoja amepewa tu na mtu aiwasilishe bungeni bila kuwa na uelewa wowote. Namshangaa kwa sababu amenukuu kuwa Taarifa aliyosema ya BOT ya kila Mwezi ametaja ni ya Mwezi Agosti 2016. Ila cha kushangaza ni kwamba amenukuu mshahara wa Mwezi Juni 2016. Kuna nini nyuma ya pazia? Kwa nini amekwepa kutaja kiasi cha fedha kilichotumika kulipa mishahara kwa mwezi Agosti 2016 badala yake anatoa ya mwezi Juni 2016? Hapa ni dhahiri kwamba Zitto Kabwe alikusudia kulidanganya Bunge.

Nikirudi kwenye hoja ya Zitto Kabwe kuwa kwa nini kumekuwa na ongezeko la Mshahara kati ya Juni 2015 na Juni 2016? Sababu ni hizi zifuatazo;

1. Mshahara uliotumiwa na Zitto wa Juni 2015 ulitokana na Bajeti ya 2014/2015. Kwa hali hiyo, Julai 2015, Serikali ilipandisha mishahara hasa kutokana na mapendekezo ya Bunge ya kulipa mishahara yenye tija kwa wananchi. Serikali pia iliongeza kima cha chini cha mshahara ili kupunguza ukali wa maisha. Hapa lazima ONGEZEKO liwepo.

2. Kuanzia Juni 2015 hadi Juni 2016, Serikali iliendelea kutoa ajira mpya. Ushahidi unapatikana kwenye hotuba ya Rais alipoongea na wafanyakazi wa BOT Juni 22, 2016. Lazima ONGEZEKO liwepo

3. Kati ya Juni 2015 na Juni 2016, Watumishi waliendelea kupandishwa madaraja na kulipwa mishahara mipya. Lazima kutakuwa na ONGEZEKO la Mishahara.

4. Kati ya Juni 2015 na Juni 2016, watumishi hewa waliendelea kuwepo. Hivyo si sahihi kwa Zitto Kabwe kusema kuwa hakukuwa na watumishi hewa.

5. Serikali ya CCM chini ya Rais Magufuli haina kawaida ya kudanganya. Takwimu zinazotolewa ni sahihi.

Nimuombe sana mdogo wangu Zitto Kabwe. Kuwa Mwanasiasa Bora kunahitaji umakini mkubwa sana. Aepuke kujenga hoja kwa mazoea. Uongo unakusaidia kwa muda mfupi sana ila ukweli hudumu milele.

Hapa Zitto Kabwe umenihuzunisha na kunisikitisha. Nimefikia hatua hata ya kutilia shaka hoja zingine ulizoibua. Huenda hazikuwa na ukweli wowote bali ulitumia kujijenga kisiasa tu.

Nakuhurumia sana.
Nikuulize swali dogo sana na naomba ujibu neno fupi bila kuzungukazunguka maana ukishakuwa kada wa lumumba akili lazima ikutoke kidg; Hivi RAS, DAS, na DED ni watumishi wa serikali au wanasiasa? na wanapovuliwa madaraka yao utumishi wao unakoma au unaendelea? ukishajibu swali hili rudi kwenye utumbo ulioleta humu huku ukilinganisha na majibu ya maswali yangu. Kenge weee!
 
Sasa umeandika nini mkuu? Sio lazima ujibie kila uozo serikalini, mengine unaacha tu, maneno meeengi point zero.
 
Kuanzia namanditi, ruhuwiko, lizaboni, kombezi mpaka madizini wakulima na wananchi wanalia maisha magumu kwa sababu ya ujinga wa kisisiem af wewe Lizaboni unatetea ujinga, hivi hata aibu hua huoni
 
Heeeeeeeh..hivi kumbe kuna watu bado wanamuamini mzee pombe!!!
 
HAKUNA KITU KM HICHO HAMNA MTUMISHI ALIYEONGEZWA MSHAHARA
Bro usihangaike nao hao wengine ni under 18 tena wako chuo. Hawajui hata mshahara ni nini. Wanakula na kulala bure. Serikali hii imetudhulumu haijatuongezea icrement kama ilivyo ktk mikataba yetu pia hawajatubadirishia mishahara huku tuna barua za kupandishwa vyeo. Tunailaani serikali hii kwa dhuruma hii.
 
Mkuu, unapoulizia kuongezewa mishahara mwezi huu una maana ipi? Nimeshaeleza kuwa kati ya Juni 2015 na Juni 2016, kila kitu kimefanyika. Ka maana ajira mpya zimekuwepo, watu wamepandishwa madaraja na kulipwa mishahara mipya.
juni mwaka huu hicho kitu hakijafanyika mkuu, maana yake bajeti ya mishahara na ajira iliyopangwa 2015 ili ije kuwa commenced 2016 haijafanya kazi, hivyo kusingekuwapo na ongezeko la malipo ya mishahara 2016...fikiria vizuri mkuu
 
Kama waziri mwenye dhamana amepozi kwanza akitafuta jibu la kumpa zito we we mwewe unakuja na ujinga wako hapo shame on you
 
Akichangia Mpango wa Serikali kwa mwaka 2017/2018, Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Zubery Kabwe amenukuu Takwimu zilizotolewa na Waziri mwenye dhamana ya Utumishi, Angela Kairuki alizotoa Bungeni Novemba 1, 2016 kwamba Serikali inaokoa shilingi bilioni 19 kila mwezi kutokana na watumishi hewa.

Aidha, Zitto Kabwe amenukuu taarifa za BOT zinazoelezea matumizi ya Serikali kwa upande wa Wages and Salaries kwa mwezi Juni 2015 na Juni 2016. Katika maelezo yake, Zitto Kabwe anasema kuwa Mwezi Juni 2015, wages and salaries ilikuwa Bilioni 456. Aidha anasema kuwa taarifa hizo kwa Mwezi Juni 2016 zilizotolewa na BOT Agosti 2016 zinaonesha kuwa Serikali inatumia jumla ya shilingi bilioni 534 kwa ajili ya Wages and Salaries. Hivyo kufanya nyongeza ya shilingi bilioni 78.

Zitto anauliza wapi nyongeza hii inatoka ilhali watumishi hewa wameondolewa, hakuna ajira mpya, hakuna nyongeza ya mishahara na hakuna watumishi waliopandishwa madaraja? Kwa mawazo yake Zitto Kabwe anaona kuwa mmoja wapo kati ya Gavana wa BOT na Waziri wa Utumishi anadanganya ama Serikali inatumia fedha za mishahara zilizookolewa kwa matumizi mengine.

Labda niwakumbushe ndugu zangu kuwa Agizo la Serikali kuhakiki watumishi hewa lilitolewa na Mheshimiwa Rais Magufuli Tarehe 15 Machi 2016 wakati wa hafla ya kuwaapisha Wakuu wa Mikoa. Rais alitoa siku 15 kwa Wakuu hao wa Mikoa kuhakiki watumishi walio chini yao hadi Machi 29, 2016. Hadi tarehe hiyo, Wakuu wa mikoa walikamilisha zoezi hilo na waliwasilisha orodha ya watumishi hewa kwenye maeneo yao. Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anne Kilango Malecela alisema kuwa mkoa wake hauna watumishi hewa. Ndio sababu ya kutumbuliwa kwake.

Baada ya ripoti hizo za wakuu wa mikoa, Rais aliunda Kikosi Kazi kilichozunguka nchi nzima kuoanisha taarifa hizo za mikoa na takwimu zilizopo kutoka Hazina na mamlaka nyingine. Baada ya zoezi hilo, iligundulika kuwa taarifa za mikoa zina mapungufu mengi kwani baadhi ya maafisa Utumishi walitoa taarifa za uongo. Iligundulika pia kuwa zoezi hilo la uhakiki lilikuwa gumu kwa vile wakati uhakiki unafanyika, mamlaka za uajiri zilikuwa zinaendelea kuajiri watu wakiwemo watumishi hewa. Pia watumishi waliendelea kupandishwa madaraja na kulipwa mishahara mipya.

Katika kuhakikisha kuwa zoezi hilo la uhakiki linafanyika ipasavyo, Tarehe 22 Juni 2016, Rais alitangaza kusitisha ajira mpya, kutopandisha madaraja na kutotoa nyongeza ya mishahara kwa muda wa miezi miwili na kwamba zoezi hilo lingepaswa kukamilika mwezi Septemba 2016. Hivyo, tangu wakati huo, hakuna ajira mpya, mishahara mipya ama nyongeza za mishahara isipokuwa kwenye baadhi ya maeneo.

Ilipofika Septemba, ilibainika kuwa kuna haja ya kuwndelea kufanya uhakiki kwa vile matatizo mangi yaliendelea kubainika. Mchakato huo ambao kwa sasa ni detailed hasa kwa kuangalia vyeti vya taaluma na nyaraka nyingine unaendelea.

Ikumbukwe kuwa taarifa iliyotolewa na Kairuki inatokana na uhakiki ulioanza mwezi Juni na si ule wa Machi.

KWA NINI KUMEKUWA NA ONGEZEKO LA MISHAHARA KWA ZAIDI YA BILIONI 78 KATI YA JUNI 2015 na JUNI 2016?

Namshangaa sana Zitto Kabwe. Ama anajua ukweli ila anataka kupotosha au inawezekana pia hii hoja amepewa tu na mtu aiwasilishe bungeni bila kuwa na uelewa wowote. Namshangaa kwa sababu amenukuu kuwa Taarifa aliyosema ya BOT ya kila Mwezi ametaja ni ya Mwezi Agosti 2016. Ila cha kushangaza ni kwamba amenukuu mshahara wa Mwezi Juni 2016. Kuna nini nyuma ya pazia? Kwa nini amekwepa kutaja kiasi cha fedha kilichotumika kulipa mishahara kwa mwezi Agosti 2016 badala yake anatoa ya mwezi Juni 2016? Hapa ni dhahiri kwamba Zitto Kabwe alikusudia kulidanganya Bunge.

Nikirudi kwenye hoja ya Zitto Kabwe kuwa kwa nini kumekuwa na ongezeko la Mshahara kati ya Juni 2015 na Juni 2016? Sababu ni hizi zifuatazo;

1. Mshahara uliotumiwa na Zitto wa Juni 2015 ulitokana na Bajeti ya 2014/2015. Kwa hali hiyo, Julai 2015, Serikali ilipandisha mishahara hasa kutokana na mapendekezo ya Bunge ya kulipa mishahara yenye tija kwa wananchi. Serikali pia iliongeza kima cha chini cha mshahara ili kupunguza ukali wa maisha. Hapa lazima ONGEZEKO liwepo.

2. Kuanzia Juni 2015 hadi Juni 2016, Serikali iliendelea kutoa ajira mpya. Ushahidi unapatikana kwenye hotuba ya Rais alipoongea na wafanyakazi wa BOT Juni 22, 2016. Lazima ONGEZEKO liwepo

3. Kati ya Juni 2015 na Juni 2016, Watumishi waliendelea kupandishwa madaraja na kulipwa mishahara mipya. Lazima kutakuwa na ONGEZEKO la Mishahara.

4. Kati ya Juni 2015 na Juni 2016, watumishi hewa waliendelea kuwepo. Hivyo si sahihi kwa Zitto Kabwe kusema kuwa hakukuwa na watumishi hewa.

5. Serikali ya CCM chini ya Rais Magufuli haina kawaida ya kudanganya. Takwimu zinazotolewa ni sahihi.

Nimuombe sana mdogo wangu Zitto Kabwe. Kuwa Mwanasiasa Bora kunahitaji umakini mkubwa sana. Aepuke kujenga hoja kwa mazoea. Uongo unakusaidia kwa muda mfupi sana ila ukweli hudumu milele.

Hapa Zitto Kabwe umenihuzunisha na kunisikitisha. Nimefikia hatua hata ya kutilia shaka hoja zingine ulizoibua. Huenda hazikuwa na ukweli wowote bali ulitumia kujijenga kisiasa tu.

Nakuhurumia sana.
Binafsi nimekuelewa SANA,
Ili Zitto nimuelewe basi aweke Takwimu za mabilion yaliyolipwa na SERIKALI miezi matatu minne ya mwisho ili tulinganishe
Kuweka mshahara wa June 2015 halafu uulinganishe na ule wa JUNE 2016 SIO SAHIHI ....,
No ukweli iliowazi Kwamba kulikuwa na Budget mpya JULY 2015, ambayo mshahara uliongezwa, ajira mpya na kupanda madaraja.
Upo ZITTO kacheza na akili zetu
 
Mkuu umeeleweka vizuri sana. Ila hapa kuna nyumbu wengi wenyewe akili zao ni kuteuliwa na kulipwa na Lumumba. Hoja kama hizi hawana upeo wa kujadili.
 
Yaani wapinzani wanajitahidi kufukua mabaya ya serikali ya Dkt Magufuli ila wapi, wanaibuka na vi stori vya uongo uongo, hahaha pole sana mnafiki na liongo liongo zzk na timu yake
Zitto anajitahidi kukosoa lakini anaishia kuumbuka tu! Sababu anakosoa siyo kwa nia njema ila kulazimisha makosa kwa utawala na umaarufu kwake! Kumbuka alivyodanganya kuhusu bei ya ndege zilizonunuliwa hivi karibuni na madai yake kwamba ni mitumba!
 
Naona mjibu hoja umeamua kujifanya chizi kuvaa nguo ya mtu mzima wakati unajijua kabisa ya kuwa upo chini ya umri, nashauri, mambo mengine si ya kuendea papara, kama uelewa wako ni mdogo ni bora uombe msaada zaidi ili uelimishwe zaidi kuliko kujadili kitu ambacho kinakufanya udhalilike
 
Back
Top Bottom