Majibu mengine bwana......

Majibu mengine bwana......

kalukamise

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2011
Posts
683
Reaction score
191
House girl alikuwa akifagia chumbani kwa mama, mara akaona condom uvunguni, akauliza mama hii nini? mama akamuangalia akamjibu kwenu ham*ombwi ? house girl akajibu tuna*ombwa lakini siyo mpaka ngozi itoke..............
 
mama kapatikana hao ndo wanafuliwa mpaka chupi maana kutupa hiyo condom chumbani ni uzembeeeeeeee
 
Masikini housegirl! Hajui condom ni nini wala matumizi yake! Pengine kama mamamwenye nyumba asingekuwepo angeanza kuipuliza akidhani puto!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom