majibu kwenye daladala

majibu kwenye daladala

CdoEngineer

Member
Joined
Feb 2, 2015
Posts
93
Reaction score
19
Ebhanae wasiopanda daladala wanayakosa haya:
1-atakupa nyuma
2-ntakupa nikikaa vizuri
3-ngoja isimame ntakupa
4-atakupa mbele
5-hujapewa nyuma?

zamu yako kufunguka sasa
 
Ebhanae wasiopanda daladala wanayakosa haya:
1-atakupa nyuma
2-ntakupa nikikaa vizuri
3-ngoja isimame ntakupa
4-atakupa mbele
5-hujapewa nyuma?

zamu yako kufunguka sasa

konda shusha maziwa,
 
Abiria:Konda kuna nafasi?
Konda:Kuna nafasi ya kazi,unataka?
 
Abiria-- Konda nishushe Makongo
Konda-- Njoo ushuke mwenyewe mkubwa mzima nikushushe?

Tulicheka sana
 
Back
Top Bottom