Majibu kwa Lizaboni, kuhusu upotoshaji wa makusudi wenye dhamira mbaya dhidi ya Rajab Luhwavi na CCM

Status
Not open for further replies.
Mkuu Egnecious, fanya hima kumaliza hili.

Ikiwezekana jipe kalikizo ka weekend hii.

Ukiendelea kumuongelea Lizaboni inakuwa, "unfair advantage" kwako kwa vike yeye sas hayupo.

Uharibifu umekwishafanyika kwa pande zote wako na wake pia..

Mods wa JF ilipaswa wafute huu uzi na mwingine wowote unaohusu hii issue yenu.

Nafikiri ntaeleweka.
 
Lakini ni vizuri hawa jamaa wanyukane kisawasawa ili wakweli wapatikane.
CCM ni kiboko, na si chama cha mtu mmoja au mali ya kundi la watu kama CHADEMA.

Wanyukane tu kiekeweke.

Hawataki tujue ukweli na watu tumesha copy paste zamani...uzi wa liziboni wa leo asubuhi wamefuta mengi haswaaaaa sasa hivi eeeh na proof za picha ambazo tumezisevu tayari

Aliweka ukweli na kuthibitisha hadi duuuuuuuu rahaa kusoma

Afungue blog au akaunti instagram kwa jina hilo hilo twende tukamsome
 
Mzee naona unachange account tu hahaha hao watu unaowataja hapa hawapo mzee kama ulishiriki nao ni huko ila hapa Nakupa ukweli tuu badilisha majina yote
happy DC na lizaboniamakondia RC,hawa wote walikuwa team Mtama,patamu hapa
 
Nimemsaliti nani au msimamo gani.
Demokrasia ni majadiliano, hoja inatolewa na inapingwa na hoja nyingine.
Kati kati ya hizo hoja unachanganya na zako, msimamo unawekwa, tunasonga mbele.
Tatizo ni watu kuweka maslahi mbele, hoja zitakuwa za kupinda.
 
Mkuu Egnecious, fanya hima kumaliza hili.

Ikiwezekana jipe kalikizo ka weekend hii.

Ukiendelea kumuongelea Lizaboni inakuwa, "unfair advantage" kwako kwa vike yeye sas hayupo.

Uharibifu umekwishafanyika kwa pande zote wako na wake pia..

Mods wa JF ilipaswa wafute huu uzi na mwingine wowote unaohusu hii issue yenu.

Nafikiri ntaeleweka.

Ni kweli wamependelea

Kwa mimi naona haswa upande mmoja wa huyu sijui kwanini. kwani kufuta yaliyoandikwa leo na Liziboni mmmmmmmm

Ingebidi wafute majina na zile picha na kuacha yote aliyoandika
 
Ni kweli wamependelea

Kwa mimi naona haswa upande mmoja wa huyu sijui kwanini. kwani kufuta yaliyoandikwa leo na Liziboni mmmmmmmm

Ingebidi wafute majina na zile picha na kuacha yote aliyoandika

Kweli kabisa

Unapokuwa mahali penye upana wake kama hapa JF utegemee mengi lakini siyo kutajana majina waziwazi.

Hivyo wote Lizaboni na Egnecious wanapaswa kutumikia adhabu kwa kuleta masuala ya CCM mtandaoni huku wakiwataja waziwazi wahusika wakuu.

Wametajwa watu wawili watatu ambao pengine wanafahamu au hawafahamu kinachoendelea.

Ninazungumza kama mzoevu wa mbinu za medani.

lol
 
Lizaboni ndiye shujaa. Haijalishi kama uzi wake umefutwa ama la. Naamini Watanzania wengi wamesoma na wameelewa. Tumemuelewa Lizaboni na siku zote hajawahi kutuangusha. Kinachosubiriwa ni matokeo tu baada ya JPM kukabidhiwa madaraka
 
Wewe ndiye umejichanganya maana DC IQ kubwa hawezi kujibishana na akili nyepesi Kama zako.
Soma vizuri utaelewa nani ameandika,usikurupuke tulia msumari ukuingie taratibu.

Mimi ni msomaji tu hapa ila unaposema DC ni IQ kubwa unamaana gani?

Hao ma DC huteuliwa kutokana na IQ zao?
 
Haahaaaa, kweli elimu ni kuelimika si unashada ngapi, huyu msomi wa chuo kikuu anajibu mtu kwa kutumia ID fake hapohapo anaweka jina lake halisi?! kweli mzuka mbaya sana aibu yake.

Umefikiria uwezekano wa Hapi kutokuwa na nia ya kujificha? Hayo mambo ya kujificha yanaletwa na mtu mwingine tu wala sio yeye, kwa nini unajiingiza mzima mzima kuamini dhana ambayo imeletwa na the other party?
 
Kama hujui kusoma hiyo atthment hata kuangalia hujui?!
 
Hapa ndipo alipoteleza hapi
image.jpg
 
Narudia kwa mara nyingine, umefikiria uwezekano wa mwenye hiyo ID kutotaka kuficha ID yake halisi?
Fikiri vizuri, kama muelewa. Huwezi kutumia jina bandia na jina halisi kwenye waraka mmoja hata siku moja, hapo alisukumwa na mihemko tu. Hutaki acha.
 
Fikiri vizuri, kama muelewa. Huwezi kutumia jina bandia na jina halisi kwenye waraka mmoja hata siku moja, hapo alisukumwa na mihemko tu. Hutaki acha.

So, that is your idea of thinking clearly!! Haya mkuu ila usilazimishe mambo. Wengine tuko free sana katika kufikiri hatuna kinachotusukuma
 
Kuna watu wanaojiita wana CCM, watu kama Lizaboni, Tatamadiba, Jingalao na wengineo huwa nao wanajiona wana CCM. Wapo pia Vijana ambao wamezawadiwa vyeo Serikalini ambao nao kwa upofu wao wanajiona wana CCM! Ukweli ni kwamba katika Nchi hii Wana CCM halisi hawazidi 2000. Waliobaki wote ni "Mali ya CCM"
Mwenye akili na afahamu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom