Maji ya nazi

Maji ya nazi

Dengue

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
2,050
Reaction score
1,469
Jee, ni kweli maji ya nazi akinyweshwa mtoto ambaye anajifunza kuongea huweza kuongea kwa haraka na ufasaha. Sio maji ya Dafu ni Nazi.

Kuna ukweli ktk hili wana jamvi nataka nimpe mwanangu anamwaka mmoja sasa naoma anachelewa kuongea.
 
Kiroba cha nini?[/QUOTE said:
Sister huyu bro mi niko nae mtaan hana hata mtoto na kwa mizinga ni noma,anakuzuga tu! kiloba mwanao atalewa mwanzo mwisho
 
huna haja mpaka sasa kufanya ya viroba wala nini unaweza kumpa mtoto hayo maji kama hayajachanganywa na kitu chochote
jaribu kumuangalia kama anasikia sawa sawa, jaribu kumtamkia maneno ya mama kama ataweza kukufuatilia usemavyo, endelea na maneno kama lala au loli au neno lenye kuanzia na herufi ya kumfanya ulimi wake unyanyuke na kugusa midomo ya juu
Jaribu kutafuta kitu anachokipenda na ukipe jina na umfanye alitamke jina la kitu hicho kabla ya kumpa

Zaidi muone Mzizi Mkavu kwa msaada zaidi
 
Ataongea muda si mrefu, kama unaona anachelewa kuongea muombee kwa imani ataongea, achana na kumnywesha mtoto vitu vya watu wenye mapafu yaliyokomoa, mwisho awe kikojozi bure!
 
Jee, ni kweli maji ya nazi akinyweshwa mtoto ambaye anajifunza kuongea huweza kuongea kwa haraka na ufasaha. Sio maji ya Dafu ni Nazi.

Kuna ukweli ktk hili wana jamvi nataka nimpe mwanangu anamwaka mmoja sasa naoma anachelewa kuongea.
Hizi ni itikqadi na Uswahili tuu!!
 
Sister huyu bro mi niko nae mtaan hana hata mtoto na kwa mizinga ni noma,anakuzuga tu! kiloba mwanao atalewa mwanzo mwisho

Oya wewe jamaa ni mngese kama jina lako liko kwa uwingi inaonesha ni tatizo la mfumo ndio linalosababisha uropoke.
 
huna haja mpaka sasa kufanya ya viroba wala nini unaweza kumpa mtoto hayo maji kama hayajachanganywa na kitu chochote
jaribu kumuangalia kama anasikia sawa sawa, jaribu kumtamkia maneno ya mama kama ataweza kukufuatilia usemavyo, endelea na maneno kama lala au loli au neno lenye kuanzia na herufi ya kumfanya ulimi wake unyanyuke na kugusa midomo ya juu
Jaribu kutafuta kitu anachokipenda na ukipe jina na umfanye alitamke jina la kitu hicho kabla ya kumpa

Zaidi muone Mzizi Mkavu kwa msaada zaidi

Mungu akubariki.
 
Back
Top Bottom