Maji ya DAWASCO machafu

Maji ya DAWASCO machafu

MIGUGO

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2011
Posts
2,137
Reaction score
3,942
Maji ya bomba kwa sisi wakazi wa Tabata, Kimara na Ubungo tunapata maji yaliyo na rangi ya udongo. Hili tatizo nimeliona kwa zaidi ya miezi sita sasa.

Wakati mwingine ukiyahifadhi uchafu unajitenga chini.

Hii ni hatari.
 
Hata Bunju. yani hawa hawako serious kabisa, yani kuna bomba limepasuka linavuja mwezi wa pili sasa wanakuja wanasoma mita wanaliona wanaondoka.

Nadhani asilimia hata 70 ya maji ya DAWASCO huishia kumwagika tu na hawana habari
 
Mimi naona ni mwaka sasa

Hasa kipindi cha mvua ndo uchafu balaa

Unaoga ghafla unashangaa unaukurutuu muwasho balaa sasa kule idara nyeti ndo patakuwaje unapojitawaza.
 
Hapa ni Dawasco kule ni Tanesco

Tutaisoma tuu namba
 
Maji ya bomba kwa sisi wakazi wa Tabata,Kimara na Ubungo tunapata maji yaliyo na rangi ya udongo. Hili tatizo nimeliona kwa zaidi ya miezi sita sasa.

Wakati mwingine ukiyahifadhi uchafu unajitenga chini.

Hii ni hatari.
Siyo huko tu.
Ni tatizo la Tanzania nzima
 
Mimi naona ni mwaka sasa

Hasa kipindi cha mvua ndo uchafu balaa

Unaoga ghafla unashangaa unaukurutuu muwasho balaa sasa Kule idara nyeti ndo patakuwaje unapojitawaza.
Sasa hivi hakuna mvua lakini bado maji yanatoka ya rangi.

Hii ni hatari kwa watoto unakuta ana kiu anaona maji yanatoka anakuñywa hivyo hivyo.
 
Sasa hivi hakuna mvua lakini bado maji yanatoka ya rangi.

Hii ni hatari kwa watoto unakuta ana kiu anaona maji yanatoka anakuñywa hivyo hivyo.
Alafu bill likija kubwaa ukalipie maji yanayofanana na jangwani Kweli?
 
Machafu sana halafu hawayatii dawa naona bajeti ya dawa wapigaji wamesha i komba
 
Maji ya bomba kwa sisi wakazi wa Tabata,Kimara na Ubungo tunapata maji yaliyo na rangi ya udongo. Hili tatizo nimeliona kwa zaidi ya miezi sita sasa.

Wakati mwingine ukiyahifadhi uchafu unajitenga chini.

Hii ni hatari.
Mi nadhani wakiwa wanafanya marekebisho sehemu lile bomba linaliendelea huwa hawalizibi vizuri hivyo yale machafu ya sehemu wanayofanyia kazi huenda yanaingia bombani.
 
DAWASCO ni changamoto. Lile shirika likipata mtu makini linaweza kuwa linazalisha kuliko hata bandari au TANESCO simply sababu kila mtu anatumia maji yao yaani biashara yao ni straight forward

Rais angeangalia kuliboresha kwa kuvunja safu ya uongozi
 
Sasa hivi hakuna mvua lakini bado maji yanatoka ya rangi.

Hii ni hatari kwa watoto unakuta ana kiu anaona maji yanatoka anakuñywa hivyo hivyo.
Yaani ukipika chai wewe unaweka sukari tuu haina haja ya majini.
 
Hadi huku Moshi (mowasa) tatizo ni hilo hilo
 
Ukitaka uchote masafi jaza kwenye tanki halfu yaache yakipoa ndo kidgo hayaji na tope au huo udongo.
 
Back
Top Bottom