Maji ya bomba yanatoka wapi Dar es salaam

Maji ya bomba yanatoka wapi Dar es salaam

Edward A Chapa

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
973
Reaction score
1,394
Habari wanna body! Leo ni siku ya kumi maji hayatoki huku mtaani kwetu mabibo maji yamekuwa ya shida sana watu wanakunywa maji ya kisima ya chumvi! Je maji ya bomba hapo ulipo mtaani kwenu yapo nielekeze nije kuchota, Maana ni shida huku tulipo!
 
Pole sana bro asikitika kusikia hivyo kwasababu mimi niko lringa na maji huku tunashukuru yanapatikana
 
maji ni ttzo si dsm pekee yake ni tz nzima,nakumbuka niliwah kununua ndoo sh,500 nikiwa dsm mwaka 2002
 
Back
Top Bottom