JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 8,381
- 11,827
Kwanza nianze kwa kuuliza maswali haya.
1. Nani anajukumu la kuleta maji safi na salama kwa wakazi wa Dar es salaam.
2. Ungekuwa wewe kiongozi mkuu wa nchi hawa wafanyakazi wa wizara ya maji unge wafenyeje? DAWASCO je?
3. Wananchi wa Dar tuchukue hatua gani?
Ndugu zangu nina kama mwezi nikiwa nitoka mnakoita mikoani, Kwa kumbukumbu nilikuwa Tanga kwa kipindi cha miezi miwili. Nikaamini Tanga raha. Maji yapo mda wote tena matamu. Nilikuwa Arusha hali iko poa sana kwa upande waji.
Kwa takribani mwezi tangu nirudi Dar, sijawahi ona maji yanatoka hususani maeneo ya Ubungo, Kimara, Tabata, External, Makuburi, n.k.
Yani hali ni hatari, kwa wastani watu wana hasira sana. Wauza maji nao wanagombaniwa, kila kaya inataka japo inunue, Wauza maji wenyewe wanalalamika maji ni ya shida, hata yasio safi nayo hayapatikani.
Nimemtembelea rafiki yangu maeneo ya Kimara ananambia amekata tamaa na serikali yake. Hana imani na wanasiasa, anatamani wafanya kazi wa Wizara husika wafukuzwe kazi, Dawasco ifutwe na wafanya kazi wafukuzwe. Kiujumla hata mkuu wa kaya nae hawakumbuki tena.
Ndoo moja ya maji ya chunvi. TZS 1000/=
Maji Baridi TZS 1500/=
Kwa mfano familia ya rafiki yangu inafamialia ya watu 8. Choo cha ndani. kwa siku anatumia ndoo 12 hivyo ni TZS 12,000 ama TZS 18,000 kwa siku (Nilikuwa nimepanga nilale pale lakini niliamua kuondoka) .
Wananchi wenzangu hasa wa Dar es salaam tufanyeje.
Raisi wetu ni msikivu atuskie atusaidie tu japo jibu la maswali yetu, Sitaki kuamini kama hajui hii taharuki yetu.
Asanteni. Ila inaniuma sana.