Siku hizi jukwaa limevamiwa na wapiga soga! Jamani, kama hauna msaada kwa mada iliyowekwa, hauna haja ya kuchangia chochote!!! Kudhihaki kwa namna yoyote ile ni upuuzi na ushamba! Mtu anatafuta msaada, badala ya kutoa ushauri unadhihaki! Je, ingekuwa ni wewe ungejisikiaje? Hii ni kwa wote wanao lete mzaha humu jamvini!