Maji Marefu Naunga Mkono Hoja kwa 350%

kibogo

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
9,739
4,732
Nimebahatika kumsikia huyu ndugu akimsifia Prof. Muhongo kwa kumwita Prof. Mwenzie kwa kuufananisha Uprof. wa Muhongo sawasawa na wa kwake. kilichonisikitisha ni pale aliposema anashukuru kwa kutengewa fedha kwa ajili ya kusambaza umeme eneo la mjini huku akitaja kata zaidi ya 10 zikiwa hazijapelekewa umeme na pia hazipo katika bajeti hii na amemtaka Waziri ahakikishe umeme unapelekwa huko huku akijua kabisa bajeti hiyo haipo na kwa ujinga baada ya malalamiko yote akatamka kuwa anaunga mkono hoja kwa 350%
 
Hajielewi huyo kilaza,mhurumieni tu jamani kwa sababu kichwa chake kitupu anawaza matunguli tu
 
Mkuu huyu si ndiye mchawi wa ccm?

Wachawi na Ccm mbona ni mapacha jamani ina maana hamjui!!Huyu ndie aliyekuwa anamchanja Alex Masawe na kumpa madawa ili aweze kuiba!!Sasa hivi dawa zake hazina nguvu Alex Masawe yuko mikononi mwa polisi.Kwa hiyo kama wanamtegemea wajue wameumia maji marefu kwisha.
 
Nimebahatika kumsikia huyu ndugu akimsifia Prof. Muhongo kwa kumwita Prof. Mwenzie kwa kuufananisha Uprof. wa Muhongo sawasawa na wa kwake. kilichonisikitisha ni pale aliposema anashukuru kwa kutengewa fedha kwa ajili ya kusambaza umeme eneo la mjini huku akitaja kata zaidi ya 10 zikiwa hazijapelekewa umeme na pia hazipo katika bajeti hii na amemtaka Waziri ahakikishe umeme unapelekwa huko huku akijua kabisa bajeti hiyo haipo na kwa ujinga baada ya malalamiko yote akatamka kuwa anaunga mkono hoja kwa 350%

That is what happens when waganga wa kienyeji wanapopewa ubunge. Mlitegemea aseme nini sasa? Akili yake imeishia kuchambua tunguri, mizizi na majini, hayo ya uchumi na bajeti wapi na wapi?

By the way kama Maji marefu amekosa hoja, na Muhongo hana hoja, ni kweli wako sawa. Yaani ni kama wotye ni waganga wa kienyeji tu. Kwani katika hali ya kawaida tulitegemea Prof. wa kusomea awe na kila uelekeo wa kuwa na akili lakini the opposite is observed kila anapopata nafasi ya kuonyesha mpya!
 
Back
Top Bottom