Majeshini hakuna wanaume wa hovyo!

Majeshini hakuna wanaume wa hovyo!

FB_IMG_1567712814540.jpeg
 
Duuuu ila ukijichanganya kwenye 18 zao ndo utajua tu
Nakwambia hivii mijitu ya hovyo ni ya kutoka jeshini wengi tu hawana hata marinda usiogope wanavyovunja tofali kwa kichwa, wali nazi tu wale tunawala bila kijiko kwa mkono tu kama wali msibani. Tafakari chukua hatua.
 
Hawa wakiwa wengi ndio wanakuwa na pawa lakini akiwa peke yake una uwezo wa kumtia mbata
 
Mwanadada ambae una ndoto za kuolewa na mtu mwenye sifa zote za mwanaume....Nakushauri waamini hawa askari!

Ni shupavu, wanajitambua, hawasusi ovyo, pia wanaaminika na serikali kwa 100% sasa wewe kwanini usiwaamini?

Ila ukitaka mwanaume mtakae shindana kupaka poda, make up, kuvaa hereni na urembo wote...chagua huko kwengine!
Na 100% majeshini hakuna wanaume wenye sifa za ushoga.

Kijana yoyote wa kiume aliyepita mafunzo ya kijeshi ana uweledi mkubwa sana wa maisha, yaani hata kuangusha wewe mkewake hata watoto wako!

Nimetoa ushauri tu.....

NB: mtoa somo sio lazima nae alifaulu
Kuna ambao juzi wamekamatwa wameiba mafuta ya dreamliner,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom