comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,952
Mpuuzi Jammy, jeshi la watu 2500, poorly trained, poor ammunition apambane na ECOWAS! Hopeless! Kama Qaddafi, Sadam Hussein......Majeshi ya muungano wa Afrika Magharibi yataongozwa na Senegal na Nigeria kuivamia Gambia siku moja kabla ya kuapishwa Kwa Rais mpya Adama barrow, hatua hii inafanyika ili kumtoa ikibidi kwa nguvu Rais anaegoma kuondoka Madarakani baada ya kushindwa katika uchaguzi mkuu ,
Msemaji wa Jeshi la Senegal Kanali Abdou Ndi'aye amesema wanataka kuhakikisha Rais mteule Adama Barrow anakabidhiwa madaraka kutoka kwa Rais Yahya Jammeh hatua hiyo imekuja baada ya Rais Jammeh kutangaza hali ya hatari ikiwa ni siku moja kabla ya kuachia madaraka,
Aidha majeshi hayo awali yameomba jumuia ya kimataifa kuhakikisha kwamba Rais jammeh anaachia madaraka, tayari majeshi ya anga ya Nigeria na jeshi la Senegal yamesogea mpakani mwa Gambia tayari kwa kuivamia usiku wa leo ili kumshinikiza Yahaya jammeh aondoke
Hakunaga J CHAR kule!Safi saana ila Jemah nae akili hana. Alishindwaje kuagiza matokeo kufutwa na uchaguzi kurudiwa?
UNAFIKI TU VIONGOZI WANGAPI WA AFRIKA WAMEFANYA HAYA HAYA LKN HATUKUSIKIA HATUA KAMA HIZI. Kwa vile ka nchi ka Gambia kako hivyo kalivyo mnakaonea.
Safi saana ila Jemah nae akili hana. Alishindwaje kuagiza matokeo kufutwa na uchaguzi kurudiwa?
Hongera ECOWAS kwa hatua sitahiki. Litakuwa fundisho kwa watu wa aina hii maana wako wengi. Africa mashariki tunashindwa hili kwa vile hakuna umoja thabiti zaidi ya unafiki. Burundi, Rwanda, DRC, (z'bar) kote huko figisu tupu na zinajulikana lkn mmoja akiboronga hili mwingine naye kesho anaiga.Nchi za africa tuheshimu katiba jamani, this is Ao wrong kabisa yani , hata wakiamua kuivamia Gambia sekunde moja tu nchi yenyewe ndogo tu waepushe kumwaga damu kwa lazimaa,
√√ Nigeria kipindi cha nyuma ilipata wakati mgumu sana, kipindi kirefu sana ilikuwa chini ya jeshi na mfumo wao ulikuwa ni wa kimapinduzi na mapinduzi ikawa jadi watu kama ...Maman vataa,,, Shaghali,,,,,,Murtallah muhammded,,, na Gowoni. walipindua na walipinduliwa , yani mapaka Nigeria inakuwa ya Kidemocracia ni karibuni karibuni ilikuwa ni Sani Abacha kama sijakosea
jechaSafi saana ila Jemah nae akili hana. Alishindwaje kuagiza matokeo kufutwa na uchaguzi kurudiwa?
nchi za Africa mashariki nako kunataka kuwa kama huko, tungepata jeshi moja la kudhibiti na kutunza democracia tunako elekea mapinduzi yatakuwa hayaepukiki , but sidhani kama kweli Ecowas kweli wanaweza kumdhibiti huyo presidentHongera ECOWAS kwa hatua sitahiki. Litakuwa fundisho kwa watu wa aina hii maana wako wengi. Africa mashariki tunashindwa hili kwa vile hakuna umoja thabiti zaidi ya unafiki. Burundi, Rwanda, DRC, (z'bar) kote huko figisu tupu na zinajulikana lkn mmoja akiboronga hili mwingine naye kesho anaiga.
Duh! Japo wanasema wingi sio issue bali ubora ila this is too little! Sasa Jameh anatoa wapi jeuri kama jeshi lenyewe ndio hilo....
Wanajeshi hao wa Ecowas wanasubiri Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lipitishe azimio la kutumiwa kwa "hatua zozote zile" kusaidia kuondolewa madarakani kwa Be Jammeh. Wanajeshi wote wa Gambia ni takriban 2,500 ...
Iheshimu Katiba ya Nyumbani Kwako Katiba za Nchi za Africa Zishachokwa Hacha Vita Ianze Watie Akili Hao Wang`ang`ania Madaraka.Nchi za africa tuheshimu katiba jamani, this is Ao wrong kabisa yani , hata wakiamua kuivamia Gambia sekunde moja tu nchi yenyewe ndogo tu waepushe kumwaga damu kwa lazimaa,
√√ Nigeria kipindi cha nyuma ilipata wakati mgumu sana, kipindi kirefu sana ilikuwa chini ya jeshi na mfumo wao ulikuwa ni wa kimapinduzi na mapinduzi ikawa jadi watu kama ...Maman vataa,,, Shaghali,,,,,,Murtallah muhammded,,, na Gowoni. walipindua na walipinduliwa , yani mapaka Nigeria inakuwa ya Kidemocracia ni karibuni karibuni ilikuwa ni Sani Abacha kama sijakosea