Sisi hatujui mkuu malizaneni wenyewe huko vikosini kwenuKuna jamaa zangu wajeshi wanalalamika sana kukatwa posho za vinywaji ili kuendesha shughuli za vikosi Kama stationery mwezi wa tatu na wa sita,hii imekaaje.
Tanzania hatuna Jeshi somalia bali Polisi ndiyo wapo kule. Labda kama sijakuelewagharama za kuliweka jeshi letu huko somalia zimekua juu sana,ndo maana gavana Sonko amedai majeshi yarudi nyumbani
Na wakishindwa walianzishe huko huko tu, maana hakuna namna.Sisi hatujui mkuu malizaneni wenyewe huko vikosini kwenu
Package inataka kuleta mzozoNa wakishindwa walianzishe huko huko tu, maana hakuna namna.
Nani kakwambia tuna Police wetu Somalia mkuu?Tanzania hatuna Jeshi somalia bali Polisi ndiyo wapo kule. Labda kama sijakuelewa
Mara nyingi uanza hivi na taratiiibu badae ulipuka.Package inataka kuleta mzozo
Watajua wenyewe na CCM yaoMara nyingi uanza hivi na taratiiibu badae ulipuka.