Majeraha yaliyoachwa na uchaguzi Mkuu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majeraha yaliyoachwa na uchaguzi Mkuu.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by furahi, Dec 31, 2010.

 1. f

  furahi JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 947
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Kwa upande wangu haya ndiyo majeraha ya moyo niliyobaki nayo baada ya uchaguzi mkuu. Nadhani na wenzangu mnaweza kuniunga mkono kwa hili.
  Majeraha niliyoexperience ni kama ifuatavyo. Unaweza pia ukaendeleza list.

  • Mkurugenzi wa Uchaguzi Manispaa ya Arusha kufukuzwa kazi kisa kushindwa kumhukumu Lema kwa "kumtukana" Batilda wakati wa kampeni.
  • Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kuondolewa madarakani kisa kutaka haki itendeke katika kutangaza matokeo ya Ubunge jimbo la Arusha mjini.
  • Tido Mhando kunyimwa mkataba mpya kisa kuruhusu mijadala ya wagombea....
  • Dr.W. Slaa kuibiwa kura nyingi.
  • Samwel Sitta kunyimwa Nafasi ya kugombea tena uspika.
  • Nasikia na Mkuu wa Mkoa wa Arusha naye anaelekea kuchapa lapa!
  Endeleza list.......
   
Loading...