Majengo haya kubomolewa Nairobi...........................

Majengo haya kubomolewa Nairobi...........................

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,502
Reaction score
911,254
picgal_200111_02.jpg

Safaricom House on Waiyaki Way and Sameer Business Park on Mombasa Road are some of the business premises the Government wants demolished to pave way for road expansion . [PHOTOS: EVANS HABIL and MARTIN MUKANGU/STANDARD]​
 
picgal_200111_01.jpg

The newly constructed ultra modern Standard Group Centre on Mombasa Road is also earmarked for demolition.[PHOTO: ANDREW KILONZI/STANDARD]​
 
Kwa hiyo majengo ya Tanesco Ubungo kubomolewa na yale ya Ofisi ya Mkuu wa Moa Dar............................tusistaajabu..........................wala kulalama.................Nairobi vitu vizito kuachia ngazi upanuzi wa barabara......ili mradi fidia stahiki kufanyika siyo kifuta machozi kama ndugu zetu wa Mbagala watakavyochakachuliwa na hii serikali iliyokithiri ufisadi............................
 
ya kwetu haya mbona ni ya bei ya chini sana ukilinganisha na yale ya Nairobi, ikiwa ni pamoja na viwanda vitakavyobomolewa kupisha barabara....jengo la tanesco ubungu likibomolewa na jengo la mkuu wa mkoa kule karume..tutafanya barabara zetu zipanuke na ziwe nzuri...
 
Back
Top Bottom