Majasusi wanavyotayarishwa kuua

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Hizi ni lecturer za Havard chini ya mwamvuli wa somo la philosophy lakini ukisikiliza vizuri ndo unaona wale wanaojiita watu wa "system" sehemu mbali mbali duniani ndio waaanza kutayarishwa kwa style hizi


Tazama Sikiliza and have your say

Episode 01 "THE MORAL SIDE OF MURDER"

 
Last edited by a moderator:
Prof sandel wa havard hapa anaendelea kushusha nondo kuhusu " How to lie and stay clean". teh teh teh teh teh

katika lecturer Anauliza swali
  • Whats the difference between Outright lie and misleading truth.?? Anatolea mfano Halisi wa Bill clinton na Lewinsky. wamba Clinton aliongea misleading truth.

Hii ni episode 7 Lesson in lying




Kwa lecturer nyingine za profeesor Sandel philopshy nenda Justice: What's the Right Thing to Do? | Harvard Video Course na youtube.

Otherwise for other onlince video course from top world's scholars visit Academic Earth | Online Courses | Academic Video Lectures
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom