Godbless J Lema
Arusha MP
- Sep 28, 2013
- 92
- 2,205
Una gundu tangu uwe mbunge arusha imekuwa ya majanga tu! Wewe ni mbunge wa majanga, fikiria tangu kipindi kile cha maandamano watu wengi wamepoteza maisha na wengine ni vilema wa kudumu.
Una gundu tangu uwe mbunge arusha imekuwa ya majanga tu! Wewe ni mbunge wa majanga, fikiria tangu kipindi kile cha maandamano watu wengi wamepoteza maisha na wengine ni vilema wa kudumu.
Mbunge bwana kuwa hata na kadigirii kamoja ingesaidia sana
Vipi ndugu mmepona? jana nimekutafuta hewani ukawa kimya sana. poleni na Mungu awape uwepesi wa maumivu na kupona haraka kwa waliojeruhiwa. Ningekuwa karibu ningewajia kuwapa pole ila ni majukumu yamenibana sana huku Kanda ya Ziwa. Msalimie Shemejiangu sana.Una gundu tangu uwe mbunge arusha imekuwa ya majanga tu! Wewe ni mbunge wa majanga, fikiria tangu kipindi kile cha maandamano watu wengi wamepoteza maisha na wengine ni vilema wa kudumu.
We lema nawe huuishiwi viroja?
Ni kweli Bomu limelipuka na watu kujeruhiwa lakini unaposema ni majaribu kwa lema ina maana wewe kila kitu ni siasa.
Acha kujenga picha usiyoiweza tangu lini wewe ukawa Msemaji wa Vyombo vya Usalama?
Lema jiangalie sana
Mambo ya Usalama wa Raia sio wa kuja kubwabwaja huku jamii forums wakati hujui hata 1/3 ya tukio.
Lema ni hasara kwa taifaDuh! Pumba zingine hata haijulikani ni za mpunga au za mahindi...
Kwa hiyo wabunge wanashughulikia mambo ya siasa tu...
Nimepata taarifa jana ya mlipuko wa Bomu uliotokea Arusha katika Bar ya Arusha Night Park , taarifa niliyoipokea inasema baadhi ya Watu wameumizwa vibaya sana lakini hata hivyo bahati nzuri mpaka sasa sijapokea taarifa ya Binadamu aliyepoteza maisha .
Maisha yanaendelea kuwa magumu katika fikra za Watu kwani milipuko kama hii ilianzia Kanisani halafu ikafuata katika Mkutano wa hadhara wa Chadema na sasa ni kwenye Bar za Pombe , sijui ni nini kinaendelea Arusha , lakini ni vyema muda wa kutafakari ukaongezewa nafasi . Kama Mbunge sina neno zaidi mpaka nitakapokuwa nimefika Arusha leo nakuona na kutafakari .
Poleni sana Familia zote zilizofikwa na majanga haya nawaombea kwa Mungu huku nikitambua mashaka makubwa ya Watu wote wa Arusha . Majaribu haya ni makubwa lakini kwa Dua na Sala mtashinda .
Godbless J Lema
Wee aache posho? Anaingia na kusaini ndio aondoke, ataondoka sa 4 asbhNakupongeza kwa kuacha 300,000 na kwenda kuwajulia hali watu wako.
Una gundu tangu uwe mbunge arusha imekuwa ya majanga tu! Wewe ni mbunge wa majanga, fikiria tangu kipindi kile cha maandamano watu wengi wamepoteza maisha na wengine ni vilema wa kudumu.
Kazi za lema na vijana wake hizi. Laana inawaandama