Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,147
- 55,635
Inabidi tusafiri na wenzi wetu,bila kufanya hivyo ndoa zitakuwa hatiani;amekuja dada mrembo kunihudumia dakika chache zilizopita kwenye chumba changu....ukichanganya na maji ya gold niliyokunywa,nikajikuta namshauri anipe kampani.....mbaya zaidi kaniambia ni muda wa kazi.Nipo tu hapa nachezea pc tu nikingojea arudi.
Mrejesho
Hakufika,namshukuru muumba kwa kusikia sala zangu
Mrejesho
Hakufika,namshukuru muumba kwa kusikia sala zangu