Majaribu kwa Rais Magufuli: Mvua yanyesha Shinyanga na kuleta maafa Leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majaribu kwa Rais Magufuli: Mvua yanyesha Shinyanga na kuleta maafa Leo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MP CHACHANDU, Jan 11, 2017.

 1. MP CHACHANDU

  MP CHACHANDU JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2017
  Joined: Dec 4, 2016
  Messages: 880
  Likes Received: 606
  Trophy Points: 180
  Ikiwa Rais Magufuli akijiandaa kwenda shinyanga tarehe 12/01/2017 mvua Leo imenyesha sana na kuleta maafa zaidi ya watu 200 wakoswa makazi je ? Rais utafika kuwaona wahanga ?
   
 2. mkatanyasi88

  mkatanyasi88 Member

  #2
  Jan 11, 2017
  Joined: Oct 24, 2016
  Messages: 16
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 5
  Poleni watz wenzetu
   
 3. MP CHACHANDU

  MP CHACHANDU JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2017
  Joined: Dec 4, 2016
  Messages: 880
  Likes Received: 606
  Trophy Points: 180
  Sijui atawaambia kuwa na wao abebe msalaba wao
   
 4. Mkwawe

  Mkwawe JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2017
  Joined: Jun 10, 2016
  Messages: 661
  Likes Received: 1,030
  Trophy Points: 180
  "razima niwe mkweri, kama niriramba mtonyo wa kure kwa akina katerero, nikawakataria chakura cha msaada simmiyu, na nyie hamtapaga hata hata bati moja, siri kari HAIJARETA MAFURIKO... tena ni vizuri zimejireta zenyewe mkaanze kurima mvune ndo mnunue mabati na kukarabati hivyo vibanda vyenu" NINGEKUWA MIMI NINGEWAAMBIA HIVYO KESHO!
   
 5. Kwame Nkuruma snr

  Kwame Nkuruma snr Senior Member

  #5
  Jan 12, 2017
  Joined: Jan 5, 2017
  Messages: 175
  Likes Received: 379
  Trophy Points: 80
  Sijui hela ya Maafa Safari hii wata tuchangisha Kwa style gani ???
   
 6. P

  Pohamba JF-Expert Member

  #6
  Jan 12, 2017
  Joined: Jun 2, 2015
  Messages: 9,630
  Likes Received: 11,594
  Trophy Points: 280
  Watu wanasema hawana Chakula lakini wakiulizwa athari za Mvua kubwa wanasema imesomba vyakula vyao walivyokuwa wamehifadhi
   
 7. k

  kisatu Senior Member

  #7
  Jan 12, 2017
  Joined: Jan 16, 2015
  Messages: 139
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Picha
   
 8. hamidu luambano

  hamidu luambano JF-Expert Member

  #8
  Jan 12, 2017
  Joined: Jan 5, 2015
  Messages: 396
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  Umewahi kuchanga?
   
 9. isotaaaa

  isotaaaa JF-Expert Member

  #9
  Jan 12, 2017
  Joined: Sep 16, 2016
  Messages: 1,319
  Likes Received: 490
  Trophy Points: 180
  what holy books state for? every one will.carry his or her load.
  will you criticise holy books for what being written?
   
 10. isotaaaa

  isotaaaa JF-Expert Member

  #10
  Jan 12, 2017
  Joined: Sep 16, 2016
  Messages: 1,319
  Likes Received: 490
  Trophy Points: 180
  kumbe wewe....
   
 11. isotaaaa

  isotaaaa JF-Expert Member

  #11
  Jan 12, 2017
  Joined: Sep 16, 2016
  Messages: 1,319
  Likes Received: 490
  Trophy Points: 180
  ileile.mkuu. ukitoa sh ngap?
   
 12. mgogoone

  mgogoone JF-Expert Member

  #12
  Jan 12, 2017
  Joined: Dec 28, 2015
  Messages: 2,639
  Likes Received: 1,684
  Trophy Points: 280
  Mkwawe mbona umeshawaambia Kwa sauti
  Ya Mkulu.mke wangu anafikiri nimepata uchizl ghafla Kwa kucheka Na Simu.Jf idumu.
  Eti "kure Kwa akina katerero"
   
 13. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #13
  Jan 12, 2017
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,414
  Likes Received: 1,180
  Trophy Points: 280
  mvua ingezoa mpaka sizonjeeee
   
 14. Capslock

  Capslock JF-Expert Member

  #14
  Jan 12, 2017
  Joined: May 1, 2016
  Messages: 789
  Likes Received: 504
  Trophy Points: 180
  Duh

  Mkuu mbona "R" nyingi sana?
   
 15. MKONGA

  MKONGA JF-Expert Member

  #15
  Jan 12, 2017
  Joined: Feb 19, 2015
  Messages: 544
  Likes Received: 226
  Trophy Points: 60
  Ningependa kuona wakati akirudi Kwa barabara akute mafuriko yamezoa madaraja yote yaliyojengwa Chini ya kiwango. Tuje ulizana alisimamia nani? Pia tusikie majibu mapya.
   
 16. ChamaDola

  ChamaDola JF-Expert Member

  #16
  Jan 12, 2017
  Joined: Dec 23, 2016
  Messages: 1,676
  Likes Received: 1,289
  Trophy Points: 280
  ahahaha,umegonga mulemule!
  mkuu,ulitaka kuandika nini?
   
 17. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #17
  Jan 12, 2017
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 20,149
  Likes Received: 21,475
  Trophy Points: 280
  Atawaambia si mlitaka mnvua hiyo sasa imekuja.
   
 18. bushland

  bushland JF-Expert Member

  #18
  Jan 12, 2017
  Joined: Mar 6, 2015
  Messages: 4,900
  Likes Received: 2,602
  Trophy Points: 280
  Duh kijana hulali, kweli wewe ndie mpinzani WA kweli.
   
 19. bushland

  bushland JF-Expert Member

  #19
  Jan 12, 2017
  Joined: Mar 6, 2015
  Messages: 4,900
  Likes Received: 2,602
  Trophy Points: 280
  Halafu mbona kila mvua ikinyesha lazima ije na majanga tangu awamu hii ingie madarakani?fyuuuuu
   
 20. T

  Tabby JF-Expert Member

  #20
  Jan 12, 2017
  Joined: Jan 8, 2008
  Messages: 8,814
  Likes Received: 3,073
  Trophy Points: 280
  Kukoswa makazi ndiyo kufanya nini?
   
Loading...