Majaribu chungu nzima

LEO NAMTIMUA, ATAKE ASITAKE. Kwangu michepuko sio dili,,,,,sitaki mipango ya kando.
 
hapo ndipo ninapochoka, wanaume walio wengi kuonyesha udhaifu kiasi hicho mwisho utavunja ndoa yako buree. kwani ukimwambia ukweli nakuonyesha msimamo atakulazimisha ? au na wewe unataka kuwa nae unatuzuga ?
 
hapo ndipo ninapochoka, wanaume walio wengi kuonyesha udhaifu kiasi hicho mwisho utavunja ndoa yako buree. kwani ukimwambia ukweli nakuonyesha msimamo atakulazimisha ? au na wewe unataka kuwa nae unatuzuga ?

Ukweli upi asiojua? Kama ni mke anajua ninaye kwani wakati mwingine unipitia ofisini akitoka zake kazini.

Mie nafikiri maneja aliyenitangulia alikuwa akifanya haya so anafikiri nitaendeleza status quo aliyoitanguliza ya workmates kugegedana. Yaani mie nichukue nafasi yake.

Japo si jambo zuri, siwezi kupendekeza kuchukua hatua dhidi yao kwani hayajaingilia wala kuadhiri taratibu za kazi. After all mambo ya uhusiano yako independent na ya kazi.
 
Ulikosea. Ulitakiwa umfukuze in the first place.
Ona sasa unakuja kulalamika majaribu yanakusumbua.
 

ni kweli hawajui ila Mungu anajua....
siku ya mwisho hakutakuwa na kusema eti fulani alinishawishi....
uwezo wa kumdhibiti huyo ps unao ukizini umejitakia mwenyewe.
 

You are not serious.
 
Some people kweli makorokocho..a boss ushindwe kajaribu yako? Kumfukuza inakuwia ngumu...ur not serious kabusa...haya lala nae basi asiogope!
 
Huyo wanamke si ndiye aliyekutukana kwenye daladala, Mbona unataka kujifungia kamba shingoni ya kujinyoka, Umefanya makosa makubwa kumkaribisha nyoka chumbani mwako.
 
''Nina mke wa ndoa na mtoto ambao nawapenda sana''
Nimfanye nini?

Sorry, but huu ni upumbavu
 
Fanya mojawapo kati ya haya:
Mtimue uendelee kulala peke yako ili muendelee kuheshimiana.
Muombe mtafunano ila ujiandae kukataliwa na kutangazwa kuwa ulitaka kumbaka.
Endelea kulala sakafuni lakini ujipange kutangazwa kuwa wewe si lolote na kuna uwezekano huko chini kuna tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…