Majaribu chungu nzima

hata hili unaomba ushauri.... humu n mambo yaliyoshndikana aisee na km umeshndwa ata hili sithan km ur family z n safe hands of urz... man up!!!
 
hata hili unaomba ushauri.... humu n mambo yaliyoshndikana aisee na km umeshndwa ata hili sithan km ur family z n safe hands of urz... man up!!!

Nahofia huenda ikawa na mwisho mbaya. Plus, sijawahi kumsaliti mke wangu tangu tuoane 5yrs ago.
 
Business Ethics tuliziacha kwny kitini baada ya kupewa majoh, sasa tunapractice street ethics
 

Mh! Man get serious bana, unaipenda family yako???
 
mpige kazi ya maana utaona atakaa vzuri acha kujivutavuta mzee.
italiwa na wengine.
unless una matatizo.
 
Acha uzembe,mfanye looseball... vinginevyo mteme fasta kabla hajakubaka.
 
wanaume jamani! mungu atupe uvumilivu wanawake, ebu fikiri mkeo nae angeenda semina maybe, usikie et kuna jamaa analala chumbani kwamkeo japo hawafanyi chochote ungejisikiaje? umeshindwa hata kutumia uanaume wako kumtimua kahaba huyo chumbani mwako? una mke, mtoto unamwaza malaya? yani binti aliyetayari kuingiliwa namtu hata hamjui healthstatus yake nae unamuulizia et nifanyeje? kama kwako kajileta alale ovyo uchi chumbani mwako, je walotangulia? mweshimu mkeo, tena chunga afya yako sana naheshima yako kama mume na baba, mtu yupo kwenye ratiba zake zauzinzi unawaza kuambatana nae kwalipi lamaana kwako? nakushauri kama unatamani mchepuko tafuta out of your workplace sio huyo, ukijidharirisha kwahuyo utajuta, uanze kupata workstress bure,
 
Endelea kupenda mkeo na watoto wako bas, hayo majaribu yashinde.. Mbna madgo sn hayo wew labda ujilegeze mwenyew. Cha kufanya unakijua mwenyew.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…