Majaribio ya Ufisadi chuo cha Mipango( Topup)

Majaribio ya Ufisadi chuo cha Mipango( Topup)

clove

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
6
Reaction score
0
Habari wana jukwaa!
Top up ni malipo ambayo uwa yanafanywa na wizara kwa kila mwaka wa masomo kwa wanafunzi wa mwaka wa tatu kwa ajiri ya mafunzo kwa vitendo bila kujali mwanafunzi anapata mkopo au hapati, kumekuwa na majaribio ya kutokuwafikishia walengwa fedha hizi kila mwaka mpaka pale wanafunzi wanapochukua hatua ya kufatilia mpaka wizarani.

Cha kushangaza baada ya kamati iliyoundwa na wanafunzi hao kumwona makamu wa chuo taaluma anatoa majibu ambayo kwa msomi yoyote awezi kumwelewa eti hela zimekuja ila zimefanyiwa reallocation swali la kujiuliza hela ya mtu unaweza kuifanyia reallocation bila makubaliano ya mwenye nacho na kisheria sidhani kama kuna huu utaratibu.

Mytake
kwa wenye uelewa tunaomba ufafanuzi wa hii kitu!
 
Back
Top Bottom