Baada ya mzee mageti kufanikisha uwekezaji kwenye Teknolojia aliamua kuingia mikoani na kuingia katika uwekezaji wa vyakula, Afya, tiba pamoja na njacho.
Ndipo akakutana na mzee zakayo na kukubaliana zoezi la vitambulisho liwe la kidijitali wanakijiji wasiwe wanabeba makaratasi . Pia aka kumshawishi mzee huyo kuwa wanyama walao majani kama ng'ombe uchangia katika ongezeko la hewa ya methani hivyo ana suluhisho lake ambapo wanyama ao watapewa chanjo ili kupunguza ongezeko la joto duniani ( global warming)
Bill ni expert kwenye food production, expert kwenye viruses, expert kwenye chanjo, expert kwenye mabadiliko ya tabia ya nchi. Kila sekta yeye ni expert