Kwa mkoa wa Pwani (Kisarawe) majani yanayofaa ni majani tembo jina la kisayansi Pennisetum purpureum ,kwa kiengereza elephant grass.
Haya yana uwezo mkubwa wa kuvumilia ukame na yanastawi sehemu ya ardhi yoyote.
Kwa msaada zaidi kama utapenda Tafuta kitabu hiki-Mwongozo wa Ufugaji Bora wa Ng'ombe wa maziwa.Kuna maelezo ya kila aina ya majani yote na sifa ya majani,na jinsi ya kuvuna na kuhifadhi.
Mpigie 0756625286,yeye anauza Kitabu na ni mtaalam na mzoefu wa mambo hayo pia atakushauri kuhusu mambo ya Ufugaji wa ng'ombe na ulimaji wa malisho.