^^
Fabian leonard
Jambo linalokutokea ni la kawaida kwa mtu ambaye amefikia ukubwani hajawahi kufanya tendo la ndoa.
^^
Tatizo lako ni la kisaikolojia zaidi kwa sababu hukuletea aibu na fadhaa kubwa ilihali mwanamke huishia kukosa jibu ni kwa nini imekuwa hivyo.
^^
Ni wazi wewe unajawa na hofu,,woga,,au kutetemeka hasa pale unapotazama uzuri wa mwanamke aliyelala mbele yako kwa uzuri unaokuingia ubongoni.Na pengine bado hujawa na taarifa za kutosha kuwahusu wanawake.
Kama ndivyo fanya haya,
1.
Huyo mwanamke aliyelala hapo,na uzuri wake na mwingi wa wema usoni,anahitaji umuingie taratibu,,ujitawale zaidi,utamke maneno matamu ambayo yatakusisimua hata wewe.
2.
Futa hisia zote zilizo nje ya tendo la ndoa.Ni wewe tu na tayari ni mshindi.
3.
Kama mpenzi wako ni muwazi na anakujali,,chezeaneni hakikisha unampa ruhusa ya kukushika,kukupapasa ila kama ndo wale wakujifunika uso kwa viganja basi ujue umeachiwa jukumu la kuongoza mechi.
Timiza wajibu wako kama mwanaume kamili.
4.
Jitawale mwili wako.Jitahidi hakuna mwalimu wa mapenzi,,uwe huru
^^