majanga

Shiwawa

Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
30
Reaction score
10
Nimeokoa maisha ya mtu leo huwezi amini........."Nimekutana na ombaomba nikamuuliza atajsikiaje nikimpa Sh. 30,000/- Akasema ATAKUFA kwa furaha......Nikaondoka bila kumpa ili ASIFE.."HUONI KAMA NIMEOKOA UHAI WAKE ?
 
  • Comedian to be! , Good start.
  • Kuna watu hii ndio kazi yao inayowapatia liziki ya kila siku. Mfano ni AY Comedian hebu mcheki hapa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…