Majanga!!

Majanga!!

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,244
Pombe nikunulie mimi, ulewe wewe. Alafu ufanye fujo wewe - Si majanga haya jamani

Bili ya umeme nilipe mimi, Tanesco wakikata umeme ulalamike wewe - Si majanga haya jamani.

Mwana JF Tiririka majanga unayo yafahamu.
 
Kupendwa nipendwe mm mabango uweke ww is majanga hayo jaman

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kuoa nioe mimi,maisha mnipangie nyinyi-si majanga haya jamani
 
Kufeli nifeli mimi,kureseat ureseat wewe -Majanga
#Form four 2012#
 
kutongoza nitongoze mimi, kuhonga nihonge mimi mpodo ukale wewe...si majanga haya?!
 
Dada yako mpenzi wangu mimi, kaka mtu roho ikuume. Majanga majanga haya
 
Mapenzi yetu sie raha zetu sie, wivu uone weye!! majanga hayoooo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Madaktari feki, wagojwa feki. Majanga majnga haya.
 
Kuzaa nizae mimi, kuua uuwe wewe, kuzika uzike wewe (Arusha) - si majanga haya jamani
 
mwigulu apange mauaji yeye alafu awasingizie CDM-majanga
 
Back
Top Bottom