Majanga yaliyonikuta kwa kutokunywa maji mengi, usiombe yakukute

Nikisema story yangu mtacheka.... In short baada ya kufanikiwa nilishindwa tembea vizuri kwa wiki, n kukaa kawaida ilikua ngumu
 
Haijawani tokea;

Nilikuwa nasikia Kwa watu tu hii kadhia.

Leo nimeingia chooni, kwakweli choo nilikuwa nayo, lakini ilikwama kutoka ilikuwa ngumu sana, nimekaa chooni karibia lisaa, choo kimechungulia ila hakitoki, kwakweli maumivu niliyoyapata yalikuwa ni makubwa sana, haijawahi tokea, nilijaribu kukibana kipungue ukubwa lakini wapi, choo kilikuwa kigumu sana, yaani ikabidi nianze kusali tu, maana nilihisi kuchanganyikiwa kabisaa na Yale maumivu makali.

Baada ya mda nikapata wazo la kumogoa kipande kidogo kidogo Kwa vidole, yaan nilikuwa namogoa halafu nasimama kuyabana then nachuchumaa namogoa tena, hivyo tena Kwa maumivu makali sana!

Namshukuru Mke Wangu Kwa kunitia moyo kwamba nijikaze, Mke Wangu alinisisitiza kwamba tatizo hilo huja kutokana na kutokunywa Maji mengi (Constipation). Kanisisitiza sana niwe nakumbuka kunywa Maji mengi, na ni kweli sina kasumba ya kunywa Maji kabisa nikiwa katika kazi zangu, na pengine huwa Niko busy sana kiasi kwamba saingine nikishakunywa chai asubuhi mchana huwa sipati lanchi, kiufupi Mimi ni miongoni mwa watu wavivu kunywa Maji mengi.

Lakini kuanzia sasa nadhani nitakuwa mfano Wa kuigwa, nimeumia sana, ilifika hatua niiaanza kuwaza na yasiyowazika, niliwaza hivi hali ile ingenikuta nikiwa ugenini au kwenye ndege ningefanyeje. Nikazidi kujitisha hivi mfano tetemeko lingetokea kama kule bukoba ingekuwaje, yoote hayo niliyawaza Kwa hofu tu.

Nimejifunza mwenzenu, na nimeweka hii post ili kuwanusuru nanyi msijisahau kunywa Maji balaa hili lisije wakuta ambalo sijui kama hata hospital ukizindiwa wanakusaidiaje
Hapa ********* unauma balaa! Nimemogoa taratibu taratibu hivo hadi choo kikatoka chote, ila nimeumia sana, nimewaza kumbe wanawake wanapojifungua huumia kiasi kile! Maana Mke Wangu kaniambia hayo maumivu niliosikia ni Mara tano kwa maumivu ayapatayo mwanamke.

Kwakweli NIMEKOMA SITASAHAU KUNYWA MAJI MWENZENU TENA,
KUNYWENI MAJI NANYI YASIJE WAKUTA WADAU. Ni ushauri tu msinielewe vibaya.
mitano tena kwa MAJI

POLE MKUU
 
Pole sana , kunywa Maji mengi ni muhim ,

Hiki kipimo kipya cha covid cha wachina kinaweza Pia kikawa muarobain Wa hili ,
Wachina mungu anawaona wallah
 
Aise nani kafukua huku tena?
 
Back
Top Bottom