Majanga ya nyumba za hidden roof[contemporary]

Yani wakati mafundi wanaomba kazi unaweza muonea na huruma,ila wakiharibu sasa na simu wanazima
 
Na hii si Leakage ya kawaida ambayo wengi huizungumzia na kuiogopa, hiyo hapo ni overflow kwenye gutter (mtaro) inayokusanya maji, kitu ambacho ndio janga/disaster zaidi.
Inaweza kuwa
1. gutter ni dogo sana so limezidiwa
Au
2. huenda waliweka ‘down pipe’ moja tu, kitu ambacho ikitokea limeziba (labda kwa uchafu) basi ni majanga kama hivo,
au
3. down pipe zina diameter ndogo sn so zimezidiwa na kusababisha overflow kwenye gutter.

Lakini siku zote watu huzungumzia kuzuia leakage tu (mfano matumizi ya Synroof, waterproof cement n.k)
 
Sitasahau fundi alipojifanya anaweza kuunganisha paa la nyumba ya zaman ambayo ilikuwa fupi na nyumba mpya ambayo ilikuwa ndefu

Siku moja ligypsum lilidondoka lote wakat mvua inanyesha kibaya zaidi palikuwa ni sebuleni
 
Na hii si Leakage ya kawaida ambayo wengi huizungumzia na kuiogopa, hiyo hapo ni overflow kwenye gutter (mtaro) inayokusanya maji, kitu ambacho ndio janga/disaster zaidi.
Inaweza kuwa
1. gutter ni dogo sana so limezidiwa
Au
2. huenda waliweka ‘down pipe’ moja tu, kitu ambacho ikitokea limeziba (labda kwa uchafu) basi ni majanga kama hivo,
au
3. down pipe zina diameter ndogo sn so zimezidiwa na kusababisha overflow kwenye gutter.

Lakini siku zote watu huzungumzia kuzuia leakage tu (mfano matumizi ya Synroof, waterproof cement n.k)

Wewe ndio umefafanua vizuri sasa, utakua ni fundi msomi kabisa unafaa kwa kazi hizo
 
Wewe ndio umefafanua vizuri sasa, utakua ni fundi msomi kabisa unafaa kwa kazi hizo
Kafafanua vzr mpe kazi Sasa uone Cha mtema.kuni.

Siku uko kwenye 6*6 unashangaa janga. Mzee MTU wa kwanza kumfikiria ni fundi. Yaani kufata hapohapo kwako usiku usiku.

Mie natafuta nyumba yenye design kama yangu kwenye plan.

Namuombea jamaa namba za fund namalizia kazi.

Sipendi kubahatishabahatisha
 
Back
Top Bottom