Wachezaji wooote wa kigeni Simba hawaruhusiwi kucheza isipokuwa owino pekee. Vibali vya kazi na itc. Chanzo kamati ya ligi.
Mkuu kamati ya ligi imezuia wachezaji zaidi ya 30, sasa unapotaja wa Simba tu unakuwa hujatenda haki, taja wote waliozuiliwa.Wachezaji wooote wa kigeni Simba hawaruhusiwi kucheza isipokuwa owino pekee. Vibali vya kazi na itc. Chanzo kamati ya ligi.
Hahahahahaha.Mkuu kamati ya ligi imezuia wachezaji zaidi ya 30, sasa unapotaja wa Simba tu unakuwa hujatenda haki, taja wote waliozuiliwa.
Wachezaji wooote wa kigeni Simba hawaruhusiwi kucheza isipokuwa owino pekee. Vibali vya kazi na itc. Chanzo kamati ya ligi.
Huyu rage mjin**g**a sana badala ya kuimalisha kikosi cha simba anaitumia simba kuimarisha ccm, mfano ni kule alipo ipeleka timu kucheza na timu ya kijiji cha mwigulu ili mkutano wa cdm ukose watu. Huyu jamaa asipongolewa madarakani mi nahamia azam kuliko kuendelea kuishabikia simbaccm
Mkuu kamati ya ligi imezuia wachezaji zaidi ya 30, sasa unapotaja wa Simba tu unakuwa hujatenda haki, taja wote waliozuiliwa.
Mkuu hata mimi Simba
wamenikera sana kutumika kisiasa!Nilikuwa mpenzi wa Simba siku nyingi
LAKINI nawaombea njaa wafungwe ikibidi wateremke daraja.Siwezi shabikia
upuuzi wa jinsi hiyo bado nina akili timamu.Tena naombea leo wafungwe
akili ziwasogee
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Sitegemei kwa timu ambayo ni kubwa kama simba kufanya makosa katika hili. Viongozi walikuwa wapi muda wote?Mkuu kamati ya ligi imezuia wachezaji zaidi ya 30, sasa unapotaja wa Simba tu unakuwa hujatenda haki, taja wote waliozuiliwa.
Nilijua fika kuwa 'time will tell" yaani huyu bwana Rage badala ya kuhakikisha uongozi wake unaweka haya ma mambo ya Uhamisho mapeema yeye anapeleka timu huko kijijini kwao tena anaichezesha na kombaini ya wanakijiji, ahahaha...majanga sana.