Mkondakaiye
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 838
- 174
hakuna mshabiki wa simba anayeweza kuongea pumba kama hizi
Mimi mwenyewe ni mpenzi wa simba kitendo walichofanya viongozi wa simba kutumiwa kisiasa ni aibu. Usiwatetee labda kama na wewe ni mmojawao