Majanga ndani ya Sao Paul Stadium

Majanga ndani ya Sao Paul Stadium

mayuni

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
404
Reaction score
32
Mfanyakazi aanguka kutoka juu kuja chini 25 ft and 8m kwenye ujenzi wa uwanja wa Sao Paul uliyopo Brazil na ndo utakao tumika kwa michuano ya kombe la dunia
 
hii nayo habari?

ushajiuliza wachina wangapi walianguka toka kwenye ile bird's net na habari yao haijaletwa humu?
 
hapo tayari kafara zishafanywa. majanga kweli. uwanja utakaochezewa fainali ya kombe la dunia?. bingwa ashajulikana. Rip mfanyakazi
 
Nn maana ya habari..???
 
hapo tayari kafara zishafanywa. majanga kweli. uwanja utakaochezewa fainali ya kombe la dunia?. bingwa ashajulikana. Rip mfanyakazi

Hakika tutaendelea kuwa Miafrika...Akili zetu zimenaswa kwenye ushirikina na Imani za kichawi..Kwann umedhani ni kafara...??? Unafikiri huyo mfanyakazi alifuata kanuni zote za usalama kazini...??

Huenda panya akapita chumbani mwako usiku kwakuwa huzingatii usafi na chumba kimejaa kila kona ukasema mchawi kapita...
 
Back
Top Bottom