Majanga matupu NACTE

Majanga matupu NACTE

Prezdaa Shaco

Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
46
Reaction score
8
Vyuo nilivyoomba wameshatoa majina yao Mimi simo, Profile yangu sijaambiwa kama niombe tena sasa Niwaeleweje hawa NACTE Naomba msaada kwa anaeelewa chochote...
 
nacte hawafai sio watu wazuri , wanaweza kukupeleka chuo usichochagua kwa maslai ya wenye vyuo.mpaka wa kumi mwishoni wanaweza toa majina uskubali wa kuchagulie chuo
 
Vyuo nilivyoomba wameshatoa majina yao Mimi simo, Profile yangu sijaambiwa kama niombe tena sasa Niwaeleweje hawa NACTE Naomba msaada kwa anaeelewa chochote...

Kwani mkuu ulivyoomba vyuo hukuwa unaangalia capacity?
Kwa mfano... faculty flani wameomba mia tatu lakini chuo kinataka wa 4 tuu maana ndio uhuni wa nacte wanaoufanya..sasa wewe kama wew ndio ulitakiwa uangaliee GPA yako inaweza ikawakalisha walee wote ukawa miongoni mwa wale wanne?
Au je ulichoomba vigezo vyake unavyo? I mean vinalandana na ulivyosoma dip?
Na je chuo ulichosoma diploma umekiweka kwenye machaguo yako? (Ni muhimu kukiweka ili kama ukikosa pengine chuo chako lazma kikubebe)
Kama vyote vitatu upo sawa wala usijali kabisa utapangiwa tuu maana kuna second selection ...
Na ikishindikana hapo watakupangia NACTE wenyewe kwenye vyuo ambavyo hujachagua...ila sidhani lazma upate mkuu bhana..utakosaje chuo na umefaulu? Kagua vizuri hayo majina taratibu..
 
Mimi nimeomba UDOM program mbili, MUCE programm mbili na DUCE moja, na GPA yangu yaniruhusu kuomba vyuo hivo ndio mana nikaomba
 
Kwan second batch wanaweka kwenye orodha ile ile ya mwanzo au wataandika second selection

Sijajua ila sizani kama wanachanganya kwan huwa ukiingia kweny website yao unakuta ujumbe pale unadownload
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom