Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,664
1. Upigaji wa punyeto
2. Wanawake kutokufikishwa kileleni
3. Wanaume, hasa vijana, kuwa na matatizo ya uume, kwa mjibu wa malalamiko ya wanawake, hasa humu: uume mdogo kama njiti ya kiberiti, dakika sifuri tayari nyege mkononi, kufanya mapenzi kama kuku, dushe kusimama kwa shida au kuwa legelege hata kama limeona papuchi
4. Akina mama/dada kusagana na kutumia madilido kujitia, tena mengi wanayotumia ni marefu na manene kama chupa ya bombadier, Ole wako uwaendee na kibamia
5. Akina dada kukosa waume wa kuwaoa, hata kama wajipitishepitishe vipi mbele ya wanaume
6. Wanaume suruali na madomo zege, refer threads za wadada wa humu
7. Madawa ya kulevya
8. Ukimwi na magonjwa mengine ya zinaa
9. Kutupa/kutoa mimba na kutelekeza watoto (kutupa/kutoa wanawake, kutelekeza wanaume)
10. Ushoga, hasa vijana wa mijini na kuvaa huku matako yakionekana
11. Kuchepuka
Nyongeza ya wadau:
12. Kubet
13. Pombe
14. Uvivu
15. Ujinga - hawapendi kabisa elimu
16. Ushabiki wa mpira uliopitiliza, hasa ligi za Ulaya
17. Kushinda Gimy kunyanyua vyuma kwa lengo la kutanua kifua na misuli ili upendwe na wanawake hasa wake za watu, ati ukimgegeda akung'ang'anie
18. Kujichubua
19. Kushinda vijiweni, sanasana kazi kubwa ni kula wanawake, hasa wowowo kwa macho
20. Kushinda kwa shemeji yako au hata kwenu, kula kulalaa, kuangalia TV, hasa taarabu au kushinda ukicheza magame
21. Kuvaa suruali ya mpira imening'inia chini na kuvutika nyuma kama vile umevimba matako na kujinyea
22. Show offs kibao na kuiga vitu kichwakichwa wakati huna cha maana ulichofanya: kugongea magari, misosi, magheto, kujifanya Jazz, Beyonce, Eminem au 50 Cent wakati pa kulala huna
23. Kuthamini watu wengine zaidi na kujipendekeza kwao kuliko ndugu zako na wazazi wako
24. Kukataa/kukana wazazi wako hasa wakikufuata mjini, kisa washamba au hawana hadhi
24. Kutowasaidia ndugu na wazazi wako, uwezo unao, cha ajabu wengine unasaidia
25. Kusuka - wanaume. Pia kujiita sijui Rasi/Rastafari, umesokota nywele ndefu kama kamba, chafu zinatoa vumbi, kutwa kuzunguka umebeba begi kubwa mgongoni mitaa yote ya mji hadi beach bila malengo
26. Kulala na mama yako, mtoto wako, ndugu yako/dada/kaka au baba yako - laana
27 . Ushirikina, majungu na uchawi ( humu wamejaa)
28. Kushinda JF na mitandao mingine, mbaya zaidi unapost matamahuluku, yaani unashinda humu kuliko mwenye JF na mods, Hallooo, kazi unafanya saa ngapi? Bado Insta, WhatsApp, fb! Jitafakari
30. Kutumia madawa na bangi halafu unajisifia - Arusha ipo sana
31. Kufanya harusi kubwa na ya kifahari - uwezo huna, unategemea michango yetu!
32. Kugongea choo kwa kijarani
33. Kukopa condom dukani, halafu hulipi deni - hii ni special
34. Kukopa hela halafu hurudishi, ukidaiwa unakuwa mkali - utapeli
35 Kudanganya akina dada kwa kujifanya mtu wa dili na mishemishe wakati ramani haisomi
36. Kushinda jf, ukitetea Chama Cha kwa malipo uchwara, unatoa povu na kukitetea, kujitoa ufahamu na kutumika kama tp, wakati mwenyekiti mwenyewe hana habari nacho
37. Kujifanya mwanamke jf, wakati ni mwanaume
38. Kuimba mziki huku ukishikashika mapumbu!
39. Kuvaa hereni, kutoboa pua, kulambalamba mdomo muda wote, kuvaa suruali halafu chupi inaonekana - mbaya zaidi nyeusi tii kwa uchafu afadhali ya jalala, kujitattoo mwilini kama shetani,
, kuvaa maurembourembo - bangili, mikufu ya kike, shanga - mwanaume!
40. Ufiraji/Tigo
Ukikosekana kwenye hii list, mshukuru Mungu, songa mbele usirudi nyuma kamwe.