majanga kwa watu wa opensource

thesym

JF-Expert Member
Aug 15, 2012
3,825
4,754
muasisi wa operating mojawapo ya linux Debian Ian Murdock amefariki dunia juzi tar 29/12/2015. Debian ni moja ya distribution za mwanzo kabisa za linux zinazotumia GUI (Graphical User Interface). Ian Murdock aliunda Debian akiwa bado ni mwanafunzi wa chuo kikuu. Ni operating system ambayo imetumika kutengeneza OS nyingine za linux kama vile Ubuntu, Linux Mint,Kubuntu, Fedora na nyinginezo. chanzo cha kifo chake bado hakijajulikana lakini kwa mujibu wa twiter zake inaonyesha mar
CXiqkHFUAAAqmQX.png
CXjGWWwWwAA6zDf.jpg
ehemu alijiuwa.
 
Last edited:

Similar Discussions

Back
Top Bottom