majambozi..online???

Sasa wewe ulimtafutia nn au alimkubalia ili iweje,we vp bana...hebu ni PM nikutafute nikugaie shughuli pevu
 
Usije ukajaribu hata kidogo kutoa hiyo top yako acha kabisa tena mtu kama huyo kuwa nae makini hata wakati mkikutana maana anaweza akawa anachukua video bila wewe kujua siku ikija mmekorofishana kidogo tu umekwisha kila kitu hadharani ushauri wangu tu lakini dear
 
isikupe shida!!mwambie na yeye akuonyeshe dick yake halafu uone kama utafikia kilele!!!
 
Am hereeeeeeeeeeeere baby!... :llama::hug::coffee:


See now....
:hug::hug::smiling::mwaaah::A S-heart-2::busu
The Following User Says Thank You to pauline For This Useful Post:

Kaizer (Today)​
 
PHP:
[B] [IMG]https://www.jamiiforums.com/images/icons/icon1.png[/IMG] majambozi..online??? [/B]

    ktk tafuta tafuta ya mwenza online,nimejikuta naangukia kwa kaka mmoja,tatizo yeye yuko mbali,tunapigiana simu,tunachat facebook na juzi juzi kanishawishi nikajiunga na skype...
 
tatizo nililonalo,ni juzi wakati tunachat skype ameniomba nivue top aone maziwa yangu-mie nikakataa katu katu...ameninunia-anasema mapenzi yetu yatasurvive vipi na sie tuko mbali?
 
swali kwenu wanajamii.. 1.kuna watu mnafanya hivi??? huwa mnahitimisha i mean mnafika kileleni kwa 'kumwangalia' tu mwenzio akiwa naked kny computer screen?...kama sio nini zaidi huwa mnafanya?.............
 
asanteni......:embarrassed::embarrassed::msela:

Hivi unajuaje kama huyo ni mtu au ni pepo? Chunga sana na on-line romance.......................you may be romancing the stone............................yaani katika pitapita zako hujaona kijidume cha kukuliwaza mpaka uangukie kwenye mtandao?
 
PHP:
Usije ukajaribu hata kidogo kutoa hiyo top yako acha kabisa tena mtu kama huyo kuwa nae makini hata wakati mkikutana maana anaweza akawa anachukua video bila wewe kujua siku ikija mmekorofishana kidogo tu umekwisha kila kitu hadharani ushauri wangu tu lakini dear

spot on...............................
 
mmmmnh kwani yeye kutaja mzungu imekupuguzia nini?-mie imenirahisishia kujua kwao haya ni mambo ya kawaida na kufuatana na majibu ya hii thread wengi kwetu hili sio jambo la kawaida/hatuko tayari kulifanya...
yaani wewe ndiyo kipimo cha wengi duh haya bana
 
Kuna majibu fulani ya mtoa thread yananipa picha kuwa hakuwa na nia ya kuuliza bali anajua na pengine huwa anafanya hako kamchezo, ila ameleta hii thread kupima kama watu hasa watanzania watasapoti hako kamchezo
 
chukuwa nazi mbili ziparuze mpaka ionekani kifuu, halafu muonyeshe upande wa nipples,
au is up to you, unaweza kumuonyesha hizo nazi upande ulio na macho atashtuka hahaha
 
:A S thumbs_down:
Kuna majibu fulani ya mtoa thread yananipa picha kuwa hakuwa na nia ya kuuliza bali anajua na pengine huwa anafanya hako kamchezo, ila ameleta hii thread kupima kama watu hasa watanzania watasapoti hako kamchezo

mmnh embu weka hayo majibu????.....eti kama watanzania watasapoti huu mchezo?? inisaidie nini mie?:twitch::first::sick:
 
Ameanza na Top ukishawezesha hilo anakuja na pedo. then ile ingine... hakuna mapenzi hapo ni matamanio tuu.Wizi mtupu..na ww dada yetu unawezaje kuzuzuka na online majambozi? Usithubutu kutekeleza matakwa yake atachukua screen shots ya hizo videos then tutazikuta Facebook and kwingineko.:coffee: be right back
 

jibu lako lingine!, upo very interested hofu kwako ni usalama tu kuwa hakuna kurekodiwa
 

Daaa nina haka kaudhaifu, I don't trust online person, friend, etc. Labda mpaka nikuone zaidi ya mara kadhaa lkn vinginevyo mengi yatakuwa kiutani zaidi. Hakuna ukweli hata mmoja ntakaokwambia.
 
mtego huo ruka kabisa, atakuingiza town.
unauza izo video/picha uko aliko.

alafu kata line kabisa.
 


...mnh, anafanya 'Review before he buys?'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…