tatizo c elim ni umaskin. Mzee wa vijisent mbona ana elim kubwa 2 tena havadi lakin ona. Nå c yeye 2 wengi 2.Ndiyo shida ya kutelekeza elimu nchini, kama elimu inayotolewa nchini ingekuwa bora na yenye kumuandaa raia kujiajiri hao wasinge risk kwa kwenda kuvunja ATM, lakini elimu bora imeelekezwa kwa watoto wa vigogo huku watoto wa masikini wakipata elimu duni ambayo inawalazimisha ajira za ujambazi, all in all haya yanayotokea ipo siku yatawakuta waliotufikisha hapa tulipo