Majambazi yatishia Amani Arusha

Majambazi yatishia Amani Arusha

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,054
Reaction score
3,263
Nimeingia Supermarkt moja ,muuzaji akituharikisha tufanye haraka afunge kwaani kapigiwa simu Kuna majambaza wanapita na pikipiki, huku wanafyatua Risasi wakiihitaji pesa,kwa mtu yeyote watakayekutana nae .

Mwnye taarifa kamili atuwekee . !

Ni mitaa ya Kijenge kuelekea Moshono . !
 
Mkuu upo arusha maeneo gani, mbona cjackia hzo hbr na nipo town hivi sasa
 
Acha Maisha ya Tetesi wewe, kama ulimrusha mtu hilo ni la kwako, Arachuga yetu iko shwaaaaari. watu tunakula bata MILESTONE PARK kwa raha zetu. na Difenda la polisi lipo nje linatulinda.
 
Acha Maisha ya Tetesi wewe, kama ulimrusha mtu hilo ni la kwako, Arachuga yetu iko shwaaaaari. watu tunakula bata MILESTONE PARK kwa raha zetu. na Difenda la polisi lipo nje linatulinda.

Sawa mkuu kula Maisha . Lakini Habari nimepata sina budi kushare na wana jamii . ! . huwenda hawajapita huko . ! .
 
Siku nitakayoamua kuhamia Arusha nitafanya mpango nimiliki silaha ili kujilinda. Hawa machalii wa bodaboda wanaotishia maisha ya watu dawa yao ni kuwapukutisha tu..
 
Arusha sio sehemu salama ya kuishi kwa mwenye rasilimali za kutosha!
 
Acha Maisha ya Tetesi wewe, kama ulimrusha mtu hilo ni la kwako, Arachuga yetu iko shwaaaaari. watu tunakula bata MILESTONE PARK kwa raha zetu. na Difenda la polisi lipo nje linatulinda.

Wewe si ndio ulikuwa unatukana Polisi kule kwenye threaf nyingine

Kumbe na ulinzi wao unaupenda?!,hapo unakunywabia kwa amani ukijua kuna usalama?

JF inawanafki wengi sana na wewe ni mmoja wao
 
Acha Maisha ya Tetesi wewe, kama ulimrusha mtu hilo ni la kwako, Arachuga yetu iko shwaaaaari. watu tunakula bata MILESTONE PARK kwa raha zetu. na Difenda la polisi lipo nje linatulinda.

Acha ujinga wewe, hapo Milestone ni nyumbani kwako?? Au huna pa kulala.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom